Ubora wa chuo cha kampala international university (kiu) dar es salaam

Ubora wa chuo cha kampala international university (kiu) dar es salaam

Hii Kiu sijui kuna nini!maana hata wizi wa mitihani ya wizara ya Afya ndio jadi yao.
Yaani hakuna udhibiti wowote na ningeomba kwa kozi za afya NTA levels ziwe chini ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.Wizara ya Afya kuna watu wazembe,waliojaa viburi,wasioambilika,na wanaofanya kazi kwa mazoea.Mtaruhusuje chuo kama kiu kuwa na wanafunzi wengi halafu hawataki kuajiri na badala yake wanaorodhesha watumishi wa serikalini kama vile ndio waajiriwa?
Mimj nasoma hapa clinical medicine naombea leo kesho kifungwe tuhamishwe wanafunzi wote
 
Na hakiwezi fungwa maana vigogo was wizara ya elimu ndio board members wa chuo unategemea nini.

Chuo kinachukua wanafunzi wengi wakati hakina walimu.Yani wanasubiri wazee wa Muhimbili wastaafu ndio na wao wawachukue (i.e Kabati,Chambuso) na kuazima azima walimu huku na kule
 
Mimj nasoma hapa clinical medicine naombea leo kesho kifungwe tuhamishwe wanafunzi wote
Idris nidadavulie Kidogo kuhusu suala la ubora wa clinical medicine ya Kampala university, Haya pm tu Mkuu Maana kuna Uzi uliuanzisha ila ukawa umeondolewa haraka Sana
Muhimu Sana!!
 
Halafu cha ajabu ni kwamba,vyuo vingi vinavyoendeshwa kihuni bila kuzingatia ubora,mahitaji ya mtaala,viko Dar karibu na makao makuu ya NACTE.Je shida ni mlungula ama ni uwepo wa vigogo katika bodies ama umiliki wa hisa?
 
Back
Top Bottom