Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. ccm walisahau kua kadi za CDM zinauzwa, walidhani zinagawiwa bure kama zao, Kama unavyojua Nape asivyotumia akili ktk mambo mengi anayoropoka,
Mwenyekiti wa CCM ni muongo aliyekubuhu unategemea katibu mwenezi wake na mawaziri wake watakuwaje,aibu kesho magazeti yatatoa picha ukurusa wa mbele kuwaumbua watasemaje sasa kama sio kumdhalilisha mwenyekiti wao Mh Jakaya KIkwete ambaye walikuwa wanampaka kwa mgongo wa chupa kila wakati Mh Jakaya Kikwete kumbe wanamuumbua mbele ya jamii CCM hovyoooooo kabisa
hivi CCM kwa akili wanakubali kupelekwa nj nape?Siku hadi siku nape anafanya mambo kama mtu aliyechanganyikiwa!.....amekosa akili ya darasani hata ya kuzaliwa pia hana?
hivi CCM kwa akili wanakubali kupelekwa nj nape?
zomba unamaanisha magwanda au magamba?Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.
Siku hadi siku nape anafanya mambo kama mtu aliyechanganyikiwa!.....amekosa akili ya darasani hata ya kuzaliwa pia hana?
Jiulize "Tuko wangapi?"Wajinga tu, cdm hawana lolote.
Unanikumbusha kaya moja iliyokuwa na njaa, mama wa watoto saba aliichika chungu jikoni akiwa ameweka mawe na kufunika, watoto walisubiri chakula kiive mwishowe usingizi uliwashika wakalala. Mama aliipua mawe yake na kuwalaza watoto siku ikapita. Ndivyo wajinga kama wewe mnavyofanyiwa na CCM na bado mnaipokengeza na kuitetea kwa nguvu kama mazuzu!Wajinga tu, cdm hawana lolote.
Magwanda msitake kudanganya watu, tumeona kadi zote zilikuwa zikiwekwa kwenye mifuko. Ndio mlijitayarisha mje kudanganya watu namna hiyo? wadanganyesi ambao hawajaona mkutano live.
Yaani kweli akili za watu zinafanana sana, wakati naangalia kile kipindi itv akili zangu zikawa zinatamani sana kama nngekuwepo nngeokota hata kadi moja niangalie ukweli wake, nkampigia rafiki yangu m1 mwanachadema aliyekwenda huko asogee karibu achukue hata kadi moja akanambia ameshaondoka, basi nkajua lengo langu halikutimia