Ubora wa bidhaa za Jumia

Ubora wa bidhaa za Jumia

Ubora hautokani na kununua bidhaa jumla au rejareja unatokana na criteria alizuzitumia manufacturer ili kuunda bidhaa bora

Kununua bidha jumla faida yake ni kupunguza cost kwa mfano ukinunua gunia LA mchele LA kilo 100 kipindi cha msimu Wa mavuno utanunua kwa bei ya chini zaidi na utakuwezesha kupita kwenye vipindi vyote vya price fluctuations ya bidhaa hip

Mlimani city kariakoo na kwengineko wanauza vitu kwa mifumo yote jumla na rejareja ni itategemea na muuzaji ameamua awe whole sale au retailer...lakin kwa mcity na kariakoo wote wanapatikana

By the way. Kama una familia nakushauri bidhaa za nafaka pamoja na mafuta na mkaa uwe unanunua jumla, kwa kufanya hivi utapunguza cost zisizokuwa na mpango
Hahaaaaa!dah! Ni JUMIA sio JUMLA bwana wewe!!bah
 
Uko vizuri kweli! Swali lingehusu bidhaa za jumla na rejareja ungekuwa umemaliza kila kitu😀😀
 
Back
Top Bottom