PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,444
Upo sawa mkuu, they cant make rational decisionsKumbe ndio maana msichana akiwa mzuri, sehemu zake zitajuta maana hawawezi kufanya rational judgment.
Aise vitabu vya dini vinaona mbali, tusividharau"Tuishi nao kwa akili"....Mwisho Wa kunukuu
HahahMm wananichosha tu kwenye kuchelewa kila sehem. Hata kwenye kukata kiu, Unapiga mpk goli 3. eti yy hasikii hujamuandaacjui wakiwaga faragha wanavuliwa nguo hua wanajua ni kuogelea ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enoughKwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"
Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!
Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nachofahamu mwanamke kadri anavyozaa ndivyo uwezo wa ubongo wake kufikiri na kukumbuka unapunguaKwa mujibu wa uchunguzi wanasayansi kutoka Marekani, "UBONGO WA BINADAMU(ME) UNA UWEZO WA KUTOA MAAMUZI YA BUSARA/SAHIHI KWA ASILIMIA KUBWA PALE ANAPO FIKISHA UMRI WA MIAKA 25"
Hali hii inaweza kuchelewa mpaka kufikia umri wa miaka 35 kwa wanaume, Na kwa wanawake asilimia 85 huishi adi kufikia uzee bila kuwa na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi!
Kwa lugha rahisi inasemekana "The woman's brain never matures"
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu.Our brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough
Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada huu ni utafiti wa kisayansi, hauna uhusiano na malezi, kinachoongelewa ni maamuzi sahihiOur brains never mature at the same time hata huyo aliendika amelelewa na huyo mwanamke ambae upeo wake haupevuki, wewe nae umezaliwa na kulelewa na mama ambae brain yake haijakomaa, una mke ambae analea watoto wako pengine hata hukumbuki the last time umeshinda siku nzima na watoto na pengine ukiachiwa nyumba within a day unaweza ukaona maisha machungu ila anaemanage nyumba ni mke ambae akili yake haijamature enough
Give us a break dear
Our brains are matured enough compared to the brains za wanaume ambao kwa asilimia kubwa bila kupata mwongozo wa mke basi familia inadondoka
Mwambie huyo mtafiti atukomeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tafiti inabidi ifanyiwe utafiti yakinifuDada huu ni utafiti wa kisayansi, hauna uhusiano na malezi, kinachoongelewa ni maamuzi sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app