pistologist
Member
- Sep 28, 2018
- 16
- 20
Huu uzi umeandika kwa utashi wako? Ni hisia zipi zimekufanya ukaandika haya? Yahitaji kutuliza akili sana kuelewa! Ila inahitaji moyo sana kusoma uzi wako!Greetings!
"..hauna akili..! " well, japokuwa ni tusi, lakini ana maana gani huyu mtu? sidhani kama ana maana hauna ubongo. Lakini akili ni nini haswa? ubongo ni kitu cha kuonekana na kushikika.. na akili pia hivyo hivyo? " ..Hebu tumia akilii unapoongea mbele ya watu.." watu husema hayo maneno kidole kikiwa kina-point kichwa, akili ipo kichwani? ( au ndio kama kusali mtu akiwa anatazama juu, akiwa anaamini ndio maombi yake yanapoenda? ) . Hivi ni kipi kipo ndani ya kingine, akili sehemu ya ubongo au ubongo sehemu ya akili?
Kuna wakati mwili huongoza na hisia katika kufanya maamuzi, ambapo wengine hufika mbali na kuhusisha kitu kingine hapa, moyo.. mmh! hapa ndio huwa wananichanganya kabisa, utasikia, "..sikiliza moyo wako unakwambia nini, halafu ufuate.." . Hebu tuachane na habari za moyo kwanza... hivi hisia zipo sehemu gani ya mwili? hisia na akili vina uhusiano wowote? maana wengine husema "..hili suala inabidi utumie akili, sio hisia, utasababisha madhara makubwa..." Upendo, hasira au huruma vinafanyika sehemu gani ya mwili ?
Kuna vijitabia ambavyo kila mtu anavyo vya kwake, na hivi vijitabia humtofautisha mtu mmoja na mwingine, ni ngumu sana watu kufanana katika hili, wenzetu wanaita personality! ni kitu gani hiki, kina uhusiano wowote na akili ya mtu husika?
Kabla ya yote kuna maswali kadhaa nataka nikuulize.Greetings!

Ukimalizia kuandika nitagGreetings!

Ushawahi kufanya jambo bila kutafakari ? Yaani ukajikuta umefanya tu ?
Narudi.........
Si una amini ya kuwa kuna kauli nyingine huwa si za kweli ?
Narudi.........
Hii ziada,huwezi kuongelea akili bila ubongo bila moyo.
Narudi.........
Ukimalizia kuandika nitag
Mwandiko wa kike huu, kama uliandikiwa ndomana havisomeki.Hata alama ya kiulizo hufunga sentensi pia, sio lazima uone nukta.
Sawa mkuuMwandiko wa kike huu, kama uliandikiwa ndomana havisomeki.
Greetings!
"..hauna akili..! " well, japokuwa ni tusi, lakini ana maana gani huyu mtu? sidhani kama ana maana hauna ubongo. Lakini akili ni nini haswa? ubongo ni kitu cha kuonekana na kushikika.. na akili pia hivyo hivyo? " ..Hebu tumia akilii unapoongea mbele ya watu.." watu husema hayo maneno kidole kikiwa kina-point kichwa, akili ipo kichwani? ( au ndio kama kusali mtu akiwa anatazama juu, akiwa anaamini ndio maombi yake yanapoenda? ) . Hivi ni kipi kipo ndani ya kingine, akili sehemu ya ubongo au ubongo sehemu ya akili?
Kuna wakati mwili huongoza na hisia katika kufanya maamuzi, ambapo wengine hufika mbali na kuhusisha kitu kingine hapa, moyo.. mmh! hapa ndio huwa wananichanganya kabisa, utasikia, "..sikiliza moyo wako unakwambia nini, halafu ufuate.." . Hebu tuachane na habari za moyo kwanza... hivi hisia zipo sehemu gani ya mwili? hisia na akili vina uhusiano wowote? maana wengine husema "..hili suala inabidi utumie akili, sio hisia, utasababisha madhara makubwa..." Upendo, hasira au huruma vinafanyika sehemu gani ya mwili ?
Kuna vijitabia ambavyo kila mtu anavyo vya kwake, na hivi vijitabia humtofautisha mtu mmoja na mwingine, ni ngumu sana watu kufanana katika hili, wenzetu wanaita personality! ni kitu gani hiki, kina uhusiano wowote na akili ya mtu husika?
Makao makuu ya Akili ni MOYO.NDIO
NDIO
MOYO unahusiana vipi na akil/ubongo katika hili?
Nijuavyo,akili ni ule uwezo wa ubongo namna unavyofanya kazi na akili ndio hupatikana kwenye ubongo,namna unavyoweza kufikiri,kupambanua mambo,kumbukumbu,kunakili namna ubongo wako unavyoweza kuvifanya hivyo vitu ndio akili.. ubongo unaonekana lkn kuonekana kwa akili ni wazo husika au kitu husika kuwakilishwa ktk ulimwengu wetu wa kifizikia,hapa nazungumzia vitu kama uandishi,uchoraji kiujumla ni utendaji ndio muonekano wa akili mfano uonapo gari hilo lilikuwa wazo(ktk akili) hivyo unapoliona hapo limewasilishwa.
narudi..
Makao makuu ya Akili ni MOYO.
nini mantiki yako..?Diagnostic
Hizo rangi nyingi zimepoteza u makini wa bandiko lako. Nakushauri tu siku nyingine kma una jambo.