ubize unaniponzamwenzenu

costerntine

Senior Member
Joined
May 5, 2013
Posts
172
Reaction score
27
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road
 
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road

Kama uko bize kiasi hicho bora usioe maana ukioa wajanja watamgegeda mkeo.
 
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road
Kila kitu kina faida yake na hasara zake.
How old are you?
Umefikiria nini mpaka umeamua ku-post thread hii?
Tunakutakia kila la kheri katika utendaji wako uliotukuka.
 
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road

Huo ubize ni ubize wa aina gani??? wa kazi au??? Unafanya shughuli gani inayokuweka bzy kias icho??
 
endelea kuwa busy mwana...hawa wanawake ni wakugegeda tuu na sio kuwa wapenzi...saka hela au elimu kaka...papucchi for sale so utazipata tuu
 
Ubize wangu unanifanya mpaka sasa mwaka wa pili simjui mpenzi.hata muda wa kumtafuta sina ila namkumbuka wakati wa kulala ishafikia wakati nika taka take away women kwa road

punguza miangaiko kila kitu kina nafasi yake na jipangie ratiba maana kila kitu kinakuhitaji. Ni kujiweka mazingira magumu maana mwisho wa siku unajikuta unapwaya kama hivi sasa madika
 
Kila kitu kina faida yake na hasara zake.
How old are you?
Umefikiria nini mpaka umeamua ku-post thread hii?
Tunakutakia kila la kheri katika utendaji wako uliotukuka.

atakuwa mtaalamu wa P....nyeto huyo...
 
pole sana jaribu kujipanga upya inavyoonekana huna ratiba yoyote
 
Huo huo mda na huko huko unakotafutia take away ndo upatafutie mpnz
 
Endelea kuwa bize tu mpaka hizo "genye" zihamie kwenye masaburi,then utakuja hapa kutaka ushauri mwengine tofauti na huu.
 
ka miwili unalia? wengine tuko busy mwaka wa 6 sasa na tunaendelea poa tu mbona?
 
endelea kuwa busy mwana...hawa wanawake ni wakugegeda tuu na sio kuwa wapenzi...saka hela au elimu kaka...papucchi for sale so utazipata tuu

hivi mzabzab wewe kila kitu ni papuch for sale haunaga ushauri mwingine wa tofauti japo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa bize hata muda wakuandika hapa usingepata

haahaa kutwa tuko nae JF afy anasema yuko bize.......
na huyo mpenzi wako atakuwa na jamaa mwingine tu ambae
anampunguzia mihemko yake.........maana uko bize hata mda
wa kumpigia hauna
 
Endelea hvyohvyo na ubze wako ndo UTAUOA maisha ni zaidi ya UBZE! watch ouut !
 
Angalia usije ukafikia huku...

 
Napata shida kidogo kuamini ukweli wa hii thread kwa sababu;

Mtu ambaye yuko busy sana kama wewe unavyotaka kuliaminisha jukwaa sidhani kama anaweza kuwaza hadi kufikia kuandika na ku post thread ya namna hii siku ya kazi kama jumatatu na mbaya zaidi mchana kweupe kama ulivyofanya wewe.

Hii tu inanifanya nikuelewe tofauti na andiko lako, mimi nadhani wewe hauko busy kihivyo ila labda unaweza ukawa hujui/huwezi kuwaface ana kwa ana wenzetu wa upande pili ili kuzungumzia mambo ya mapenzi na hatimae uweze kupata mwenza. Na kwa vile huwezi/hujui thus why umeamua kutumia hii njia ya jf, poa lakini umeficha kitu, maana utawafanya wasijitokeze maana kama kweli utakuwa very busy to that extent you are saying utawafanya waogope, maana na wao wanahitaji mapenzi ya dhati, kitu ambacho kwako wanaweza kukikosa coz you are so busy. ombea upate anae penda mtu wa aina yako, lakini huenda huo naye anaweza kuwa anapenda kuchepuka nje ya ndoa/mahusiano, atakutesa.

Ni mtazamo wangu tu, sio lazima kuwa nitakuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…