Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,907 Jan 8, 2010 #1 Mwalimu yupo, badala ya kusubiri maelekezo ya mwalimu wee unaleta blingz zako.
NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 Jan 8, 2010 #2 Huyu kweli bishoo, nguo alizovaa sio za mazoezi alikuwa anafanya utani na umeme.
klorokwini JF-Expert Member Dec 2, 2009 8,648 5,140 Jan 8, 2010 #3 Nguli said: Huyu kweli bishoo, nguo alizovaa sio za mazoezi alikuwa anafanya utani na umeme. Click to expand... deh deh deh ! halaf linajifanya kuingia kiRnB. mabitozi wa manzese bana!
Nguli said: Huyu kweli bishoo, nguo alizovaa sio za mazoezi alikuwa anafanya utani na umeme. Click to expand... deh deh deh ! halaf linajifanya kuingia kiRnB. mabitozi wa manzese bana!
Azikiwe Senior Member Nov 13, 2009 190 19 Jan 8, 2010 #4 Nguli said: Huyu kweli bishoo, nguo alizovaa sio za mazoezi alikuwa anafanya utani na umeme. Click to expand... Aha ha ha haaaa, nguli upo? Habari za mwaka huu bana?
Nguli said: Huyu kweli bishoo, nguo alizovaa sio za mazoezi alikuwa anafanya utani na umeme. Click to expand... Aha ha ha haaaa, nguli upo? Habari za mwaka huu bana?
NGULI JF-Expert Member Mar 31, 2008 4,803 637 Jan 8, 2010 #6 Azikiwe said: Aha ha ha haaaa, nguli upo? Habari za mwaka huu bana? Click to expand... Azikiwe NO COMMENT
Azikiwe said: Aha ha ha haaaa, nguli upo? Habari za mwaka huu bana? Click to expand... Azikiwe NO COMMENT
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Jan 8, 2010 #7 Yo yoo.... Watz up nyiingi... Duh!! Angetoka mshipa
Abdulhalim Platinum Member Jul 20, 2007 17,193 3,011 Jan 8, 2010 #8 Analeta machepele kwenye vifaa vinavyohitaji adabu.??
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,891 155,907 Jan 8, 2010 Thread starter #10 pape said: amepata alichokitaka... Click to expand... hamna mademu mbwembe nyingi namna hiyo.. Je wangekuwepo hali ingekuwaje?
pape said: amepata alichokitaka... Click to expand... hamna mademu mbwembe nyingi namna hiyo.. Je wangekuwepo hali ingekuwaje?