imeishia kuwaka kwa hapa
kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiaminiImeishia kuwaka tu mi naona.. Ila hiyo chopa ukitaka kupabda andika wosia kabisaa usije ukasumbua watu kugawana mali zako... Alf kwenye ile picha ni full photoshop..
Ha ha ha.. Na anavopenda sifa akiambiwa tu hio chance ya kua test pilot ipo anaweza akaenda panda kweli...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini
kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini
kuna mdau humu alisema njia rahisi ya kuprove ubora wake ni mkuu wa nchi apande na kuruka nayo hapo kila mtu ataiamini
Haha Sindano twaagiza China hiyo chopper vepekenye wamenunua sie twatengeza yetu