Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,487
Mbona ipo mkuu, au naiona mimi mwenyewe tu??No image...!
No image...!
Enzi za mkwerre??hiki hakikuwa kigezo, wakati wetu tulikuwa tunaangalia background kubwa.
No image...!
kifaa chako wamekizima kabla ya june???No image...!
Ha ha ha ahaaa mkuu .. Jamaa tcra wameanza naye ha ha ah.. Manake image ipokifaa chako wamekizima kabla ya june???
Picha bado Ni problem Sana hapa
Cheti cha computer cha UCC kiliwafikisha pale hahaEnzi za mkwerre??
Kina Vicky Kamata walipewa kwa vigezo gani??
huenda ikawa aise, wamemwondolea madhara mapema.kifaa chako wamekizima kabla ya june???