Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,442
- 12,721
Jibu sahihi mara nyingi ni lile linaloleta amani, sio lile linalothibitisha kuwa ulikuwa sahihi. Kujua wengine ni akili, kujijua mwenyewe ni hekima ya kweli. Njia ya kuelekea kwenye nuru hupitia gizani. Usiogope giza lako. Macho huona tu kile ambacho akili iko tayari kukielewa. Ufahamu siyo kujaza choo bali ni kuwa moto... Mjusi na tafakari.