Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Nilikua na mchumba wangu anasoma chuo fulan bagamoyo,kiukweli tulipendana sana.Tangu akiwa mwaka WA kwanza nilimsadia sana mahitaji ya chuo kwa sababu pesa alikua anapewa na babake ilikua ndogo sana.Tulipanga akimaliza tu chuo nikajitbulishe kwao na taratibu za ndoa zianze. Cha ajabu baada ya kumaliza chuo yaani siku ileile ya mahafali akaanza SMS ajibu cm anapokea anapojisikia,nikimwita anadai amebanwa ndugu zake wamekua wengi sasaiv APA dar.yaan Niko njia panda sijui amepatwa nn mpz wangu.
Nisaidieni inawezekana ana nn uyu?
Ukweli amenichanganya siamini kama watu wanabadilika kiasi hiki,yaani hatujawai kugombana at a cku moja!

Mbona malalamiko ya aina hii yamezidi? Something need to be done