Ubikira Wangu

Samahani lakini mtoa mada nikikuliza dhumuni hasa la huu uzi ni ipi ntakuwa nimekukwaza???
 
mmh
 
mmh
 
inawezekana kuna tatizo pia mkuu make mi baada ya kupitia makala mbalimbali niliamua kuachana nayo na kwa mara ya kwanza nimeileta humu,kuhusu kumbukumbu za utoto kwakweli sina mpaka naanza kujitambua kwetu ni zile familia watoto nane ko sijui huko nyuma ilikuaje
 
kuumia wakati wa mapenzi ni kukauka panapo mi nnachojua kama umekaa mda hujafanya inakuwa inabana sana lakini siyo maumivu,
 
alafu hata siwazingatii make najua watanzania hatupendi challenge wala kujisomea nami nilishajipanga make kila mda nilikuwa nataka kuleta kisa changu ila nasita lakini leo nimeamua ko sijali chochote as long as sijuani na mtu humu
 
Ndio maana nimegoma kuvuta Ile kitu...au alikua anajipa burudani kimasihara?
hapana jamani kwanza kazi nyumbani zilikuwa nyingi mno na kwakuwa nilikuwa mtoto mwema kazi zote nilifanya(hii pia ilinisaidia nilienda kuishi kwa watu wakati wa masomo)ko kusema nilikuwa najipa raha kwakweli Mungu shahidi
 
Atakuwa na maumbile makubwa.
Unajua hata kile kiambo kimetoka kwa shughuli nyingi hilo eneo huwa limebaki limebana.
Sasa yeye hilo halikuwepo ni mpanna ikulu
Ni kweli kabisa lazima ingepita kwa shida hata kama damu hazitatoka.
 
Kuna sehemu ulipata tatizo ukiwa mdogo. Kuna wale wanabaka vitoto miaka 2 huwezi kuwa na kumbukumbu.
Kwani swali la kizushi, siku ya kwanza ulikojoa?
mmh,kwakweli story za kukojoa nilikuwa sijui mambo ya orgasm nilianza kuyajua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…