Ubikira Wangu

Sawa. Partial mobilization imeanza Urusi, subiri kusajiliwa jeshini ukalinde mikoa mipya ya Urusi
 
ahsante mkuu,umenipa challenge mpya haya mawazo ndo nilikuwa nataka lakini kwa sababu jf siku hizi ina watu wa ovyo wengi wamekurupuka mara una maumbile makubwa mara hiki mara kile
Kiukweli sio lazima kila bikira hutoka damu for the first time tumekariri tu jamani ila tulio experience sio lazima inategemea jamani.
 
Jee swala la kum'badilishia mama maisha yamefikia wapi?
 
ahsante kiukweli nisingekuwa mtu wa kujisomea makala mbalimbali basi ingeniathiri kisaikolojia ukizingatia mi sio mtu wa kuongea mambo binafsi,sijawahi mwambia mtu yeyote
Just take easy,ni kawaida cute
 
Yes alitolewa kishirikina yaani wachawi waliona huyu ndio wanaweza kwenye biashara zao za kichawi sasa wakaja wakamchezea na hakufeel chochote .

Aliamka tu fresh ila siku inayofuata alitapika akapata hedhi akadhani ni yakawaida kumbe ni ya kichawi .
Ashukuru mungu amepata mtoto .
 
Basi wewe sio binadamu wa kawaida.

sexual drive humuanza binadamu haraka sana baada ya Balehe.

wewe kama hukua nazo basi kuna shida mahali
nadhani kwa sababu nilikuwa nimefokasi kwenye masomo afu pia kazi zilikuwa nyingi,na pia kipindi niko advance watoto wengi walitoka private school ko nilitia juhudi ili wajue nasi tunaweza,nilifanikiwa kuwa mwanafunzi bora
 
Ila pia na mm nilimto....mb bint mmoja aalikuwa bikra na alinimbia hajawai kbsa kufanya hcho kitu siku nazamisha mkuyenge wangu ulipita japo kwa shda Sana uliishia ktkt nikachomoa ikalia Kama pen ya spido ila sikuweza kuzamisha lote ingawa sikuona damu pia kuwa nusu ya mkuyenge wangu ..nilishanga ila sikujali San kwani namm siyo mpnezi wa binkra
 
Ukinijibu haya utanisaidia sana nilidhani wewe sio mwenye shida nikajua ni wachokozi wa humu .
1. Ulipata hedhi ya mara ya kwanza lini?
Halafu niweze kukusaidia
hedhi nilipata nikiwa form one na ilikuwa regular ko hamna damu iliyowahi kutoka bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…