Ubikira Wangu

Oya huu mwandiko ni wa chuo cha ufundi au chuo university?
 
Mdau ngoja nikusaidie kidogo, jibu lako ni hili hapa:

Kuna aina mbali mbali za hymen/ au bikra.

Zipo zilizofunga kabisa hizi zinaitwa Imperforate Hymen- kwa kawaida hizi haziruhusu hata damu ya hedhi kutoka na huwa zinahitaji upasuaji mdogo ili kuruhusu njia kufunguka

Ipo aina nyingine inaitwa cribriform hymen aina hii inakuwa na matundu madogo madogo na layer nyembamba, aina hii kimsingi ina maumivu makali saaana wakati wa kutolewa

Pia vile vile zipo bikra ambazo hazijafunga kabisa ,kwa maana nyingine tundu lipo wazi kabisaaa, aina hii kama tundu ni kubwa unaweza usihisi maumivu kabisa hususani kwa wewe ulietegemea maumivu makubwa kisaikolojia maumivu haya unaweza usiyasikie kabisaa, haya maumivu ni subjective mwingine anaweza kuyahisi kwa mbaaaali. Bikra hii inaweza kutoka bila damu kabisa

Aina hii pia inaweza kuwa na tundu dogo lenye utando mdogo pembeni ya tundu , kwahivyo inaweza kutoka damu kidogo na maumivu kutegemeana na ukubwa wa dickson .

Kwa msaada zaidi google types of Hymen ili kuona baadhi ya picha uelewe vizuri.


Ndimi mtaalam wa bikra JF, nakaribisha maswali ya mabikra tu waje PM kwa maelezo zaidi .

Asante.
 
Soma hapo nimeshakuandikia jibu sahihi.
 
Itakua kweli,baadhi ya wadada nasikia hasa kwa wale wa kijijini ambao hufanya shughuli nyinginyingi,ngumu... mfano kuendesha baiskeli... michezo minginemingine... bikra hutoka bila wao kujua.
 
Hapana 😅😅
Nimewaza labda aliwahi kuingiliwa akiwa mdogo. Na hakuwahi kujua
Hapa umewaza sawa na mimi.
Yaani siku ya kwanza kitu kiliingia kwa speed ya super Sonic. Mmhh!!!
 
Wakwangu nabishana nae kila Mara ili aniambie aliyemtoa bikra ila msimamo wake ni uleule kwamba Mimi ndiye niliyemuanza.

Kinachonifanya nimuamini Kwa 50%, siku ya Kwanza aliponipa tunda alijikaza Sana hadi akatoa machozi ila sikuona damu
 
umetish kaka
 
sio kwamba uke wangu hauko tight yaani huko tight kwakweli nadhani ni mdogo pia ani,ambacho watu hawajaelewa ni kwamba usipopata maumivu basi uke hauko tight hivyo ni vitu viwili tofauti
Tutaamini vipi bila picha

Bila picha huu unao ongea ni uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…