Ubia katiak Biashara ya Guest House

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Ankaribishwa mtu yoyote mwenye uwezo wa kuingia ubia wa kukarabati nyumba vyumba 13 kwa ajili ya biashara ya Guest JIJINI dsm NYUMBA IKO MAENEO YA UBUNGO mwenye nia katika hili naomba PM
 
Nadi hii biashara kila siku tunasema
je akikarabati ataitumia kwa muda gani?
Je grace period ni muda gani?hata makampuni ya madini yana grace period ya 5yrs
nyumba imefikia wapi lenta whatever au ilishatumia ?
Yaani nyumba iko ikoje dadavua biashara matangazo
na ni ubungo gani mtuafikirie kweli kuna biashara ni pale ubungo katikati? Dadavua
unaweza ukaikarabati ukaifanya hostel na sio guest hs dadavua ndugu mtu ajue atagharamia kiasi gani kwa shahshah
 
Amesema kuikarabati nyumba which means imeshaisha kujengwa imetumika sasa inakarabatiwa kukidhi mahitaji ya biashara.
Kuhusu kudadavua inategemeana na target audience yake. Nadhani huyu aliyepost amelenga kwa watu ambao tayari biashara ya guest wanaijua na wamefikiria kuifanya. Angekuwa anataka kuuza wazo jipya ndio angetakiwa kudadavua sana. Wakati mwingine tuwe wakweli kuwa lengo letu ni kujifunza kupitia matangazo yanayotolewa na si kwamba sisi wote ni wateja wa huduma inayotangazwa. Katika hali kama hiyo, badala ya kumlaumu mleta thread ni vyema kuwa muwazi kuwa unataka kupewa exposure...
 
amesema kuikarabati nyumba which means imeshaisha kujengwa imetumika sasa inakarabatiwa kukidhi mahitaji ya biashara.
Kuhusu kudadavua inategemeana na target audience yake. Nadhani huyu aliyepost amelenga kwa watu ambao tayari biashara ya guest wanaijua na wamefikiria kuifanya. Angekuwa anataka kuuza wazo jipya ndio angetakiwa kudadavua sana. Wakati mwingine tuwe wakweli kuwa lengo letu ni kujifunza kupitia matangazo yanayotolewa na si kwamba sisi wote ni wateja wa huduma inayotangazwa. Katika hali kama hiyo, badala ya kumlaumu mleta thread ni vyema kuwa muwazi kuwa unataka kupewa exposure...
sasa hapo ndio umeongea nini?au nikuonyesha unakijua kiswahili vizuri haya bwana au unataka kupewa exposure....
 
Iko maeneneo ya riva side na ni barabarani mandela rd kama unaweza weka private messege (PM) NITAKUELEKEZA PA KUONANA
 
Naikarabati kwa garama zangu ili iwe standard, nitakulipa kodi ya Tshs 600,000 kwa mwezi (utakuwa ukilipwa kodi ya mwaka )kwa kipindi cha miaka 15 bila KODI KUBADILIKA baada ya hapo nyumba yako nakuachia.
 
Are you serious? Huyo bwana kama hajui mahesabu anaweza kukataa.
Lakini ukimrudishia unairudisha kwenye hali ipi?
Naikarabati kwa garama zangu ili iwe standard, nitakulipa kodi ya Tshs 600,000 kwa mwezi (utakuwa ukilipwa kodi ya mwaka )kwa kipindi cha miaka 15 bila KODI KUBADILIKA baada ya hapo nyumba yako nakuachia.
 
Nyumba iko tayari inahitaji marekebisho kidogo kuiweka katika hali ya kibiashara hiyo, kama uko interested PM kwangu tuoongee , inapatikana maeneo ya ubungo Riva Side
 
Back
Top Bottom