Gazeti lililosajiliwa kila kitu, liliwahi kuwa mtaani matoleo matatu likasimama, makadirio ya sh. Milioni 5 au 6 zitatosha. Kama una nia ya kuwekeza katika biashara hii, nijulishe tupange, mimi binafsi ni mwandishi wa habari. Wasiliana na mimi kupitia baruapepe: paulmak@gmail.com
Nitumie copy ya gazeti mojawapo mlilofanya na mchanganuo mzima wa gharama zote mlizokuwa mnatumia hasa za printing, distribution na daily operation costs.Pia kama gazeti limesha sajiliwa nahitaji kujua hao shareholders wengine uliokuwa nao watakuwa wanafanya kazi gani.Nilishakuwa kwenye hiyo industry ya magazine na nina designer wangu mzuri sana.Nitumie hivyo vitu kwenye asdosi@hotmail.com,niangalie then probably tunaweza kufanya kitu.
Mh,Tindikali na kutolewa menu hapo mmejiandaa vipi
Huu ni utani mtaji wa azeti milioni 6?Gazeti lililosajiliwa kila kitu, liliwahi kuwa mtaani matoleo matatu likasimama, makadirio ya sh. Milioni 5 au 6 zitatosha. Kama una nia ya kuwekeza katika biashara hii, nijulishe tupange, mimi binafsi ni mwandishi wa habari. Wasiliana na mimi kupitia baruapepe: paulmak@gmail.com
Mkuu ni nyingi au ndogo?Huu ni utani mtaji wa azeti milioni 6?
Kwahio faida ni Roughly 1M kwa mwaka? Asante sana kwa taarifa muhimu kama hii.FINANCIAL PROJECTION
mapato ya mauzo kwa mwezi -mwaka 2,380,000-28,560,000 TSHS
mapato mengine/matangazo .......
kodi ya ofisi na bill za umeme kwa mwezi,mwaka 100,000-1,200,000 TSHS
mishahara/overhead cost mwezi/mwaka 190,000-2,280,000 TSHS
gharama nyinginezo ................
gharama za uchapishaji 2,000,000-24,000,000 TSHS
EXPECTED FAIDA 90,000-1,080,000 TSHS
EXPECTED FAIDA BILA MAPATO YA MATANGAZO NI TSHS 1,080,000 KWA MWAKA BILA KODI
KODI (194400)
FAIDA 885,600