Puyugu 01 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 573 Reaction score 455 May 9, 2018 #41 cyrillionaires said: Ukilaunch app yako juu kabisa kuna kibox kimeandikwa pic up a location, hapo andika eneo ulilopo, Google map itakusaidia kutambua eneo lako wakati unaandika, then bofya chini button nyeusi imeandikwa REQUEST UBERX Click to expand... Verification code zinapatikanaje, mbona nimeingiza number zangu za simu lkn hatua inayofuata ndio hizo code, lkn situmiwi?, au inakuwaje hapo mkuu?
cyrillionaires said: Ukilaunch app yako juu kabisa kuna kibox kimeandikwa pic up a location, hapo andika eneo ulilopo, Google map itakusaidia kutambua eneo lako wakati unaandika, then bofya chini button nyeusi imeandikwa REQUEST UBERX Click to expand... Verification code zinapatikanaje, mbona nimeingiza number zangu za simu lkn hatua inayofuata ndio hizo code, lkn situmiwi?, au inakuwaje hapo mkuu?