Uber Itaua Bajaj na Bodaboda

kutakua kulikua na jam labda, nishatumia hata kwa 3000
 
sehemu ambayo teksi waliniambia 45000 nilitumia 10000 tena kwa kumuachia dereva chenji, hahahahah
 
Lazima usema hivyo kwa kuwa gari lako mafuta huna uwezo nalo
 
Ni punguzo la muda mfupi tu,

Ni katika kujitangaza zaidi na kuvutia wateja zaidi ambao hawajawahi kutumia Uber.

Kwa hali halisi haiwezekani, Time will Tell.
 
Uber kwa kweli
Mi.siijui naomba.maelezo.inakuaje
Pakua app ya Uber kutoka playstore ingiza promocode ya TZABA05 na utasafiri bure hadi umbali unaogharimu tsh 6200 kwa mara ya kwanza. Usipoelewa niPM nitakuelekeza zaidi
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…