mama mtarajiwa
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 290
- 449
nimeibiwa simu sina simuSi uipakue then install harafu ita mwenyewe online!!
Kaibiwa simu na anataka namba ya dereva ampigie....aiseeenimeibiwa simu sina simu
Pole sana mkuu!! kuibiwa ni sehemu ya maisha...we jipange tu!! omba mtu akusaidie, kuita ubber hapa utaibiwa zaidinimeibiwa simu sina simu
kuna simu na simu. huu mtandao hauna msaadaKaibiwa simu na anataka namba ya dereva ampigie....aiseee