Kama bado hujapata na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi nenda Gardaworld pale mikocheni b {kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea.
Cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali, cheti cha shule halali na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa
Nashukuru kwa msaada wako mkuu
Nilisha wahi kufanya kazi kwenye kampuni kwa mda flani hivi nikapata matatizo ya kifamilia then nilivo rudi kazini nikawa sina kazi tena.
kama bado hujapata....na ikiwa upo teyari kufanya kazi ya udereva kwenye kampuni ya ulinzi
nenda Gardaworld pale mikocheni b....{kwamwinyi} hiyo kampuni inahitaji madereva wenye elimu kuanzia darasa la 7 na kuendelea
cha kufanya ni kuzifuata ofisi zao zilipo ukiwa umeambatana na leseni yako halali...cheti cha shule halali...na namba yako ya nida bila kusahau cheti chako cha kuzaliwa

Samahani kiongozi, Pia pole kama umewahi kufanyiwa kitu kibaya kutoka kwa madereva,
Nafkiri binadamu hatupo sawa kwaio lazma tutofautiane kitabia ,
Unaposema madereva ni wezi unatuhukumu na sisi wengine ambao hatumo katka kundi hilo ,
Samahani kama nimekosea mkuu
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603
Dereva mwenye uzoefu na mchapakazi anahitajika wa kupewa gari kwa mkataba awe na leseni class c na account za uber au bolt kwa mawasiliano zaidi piga 0783230603