Ubelgiji imewapatia wa Congo Rais, Je Historia itajirudia Tanzania Upinzani ukimpitisha Lissu?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:

Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.

TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.
 
senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,681

PUMBAVU WEWE.KICHAA ANAKUWA RAIS ?
 
Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,643
2,000
Nimesoma Historia Fupi ya Bwana Felix Raisi Mteule wa Congo nikapata Kama maono flani HIVI:

Huyu bwana Felix Kama ilivyokua kwa Bwana Lisu Naye alikua NCHINI UBELGIJI kwa KIPINDI kirefu Kama Ikivyokua kwa bwana Tundu Lisu....TOFAUTI yao NI kwamba, Felix alienda Kama mkimbizi aliyekimbia Congo na baba yake kutokana na migogori ya KISIASA.....BWANA LISU ALIKIMBILIA HUKO ILI KUIPONYA AFYA YAKE.

TUNAWEZA KUDHARAU HAYA MAMBO LAKINI SI AJABU MUNGU ANATOA ISHARA HAPA.......NAWASHAURI WAPINZANI MPITISHENI LISU YAMKINI WAKATI WA MUNGU UMEFIKA.
Umesikia waziri wa ubeligiji amesema nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liparamba

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
685
1,000
Hata Msemaji Wa Kanisa Katoliki wa Congo anadai hawajaridhishwa na mshindi aliyetangazwa, kama picha bado silielewi, Wote wawili wapinzani Angekuwa yule wa tatu Emanuel tungesema Chama tawala any way ngoja tusubiri, binafsi tungeheshimu Matokeo ya Tume
Hata hivyo fayulu ndiye alikuwa anaongoza tangu siku ya kwanza kula zinahesabiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom