Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,484
- 35,638
Miaka 4 ya simba kukosa ubingwa wa NBC
Kachukua ngao ya jamii.
Kafika fainali CAF.
Kafika robo fainali mara 3 mfululizo klabu bingwa Afrika.
Kashiriki africa football league mbele ya rais wa FIFA.
Miaka 4 ya uto bin tofali.
Kukosa ubingwa ligi kuu.
Hakupata kombe lolote hata la kuazima.
Alitolewa round za awali klabu bingwa.
Walibadili wasemaji 6 kwa miaka 3 tu..
Ubuntu botho.
Kachukua ngao ya jamii.
Kafika fainali CAF.
Kafika robo fainali mara 3 mfululizo klabu bingwa Afrika.
Kashiriki africa football league mbele ya rais wa FIFA.
Miaka 4 ya uto bin tofali.
Kukosa ubingwa ligi kuu.
Hakupata kombe lolote hata la kuazima.
Alitolewa round za awali klabu bingwa.
Walibadili wasemaji 6 kwa miaka 3 tu..
Ubuntu botho.