Ubalozi wa Urusi nchini Kenya

Ujumbe wa picha kwamba vita vya kibiashara kati ya USA na China vinaiweka ulaya njia panda huku Urusi ikitavuna pepcon taratibu ikitazama mechi 😄
Ulaya nao wanajipanga kuitandika Marekani tariffs. Marekani ni kama anaipush China na Ulaya wawe kitu kimoja dhidi yake. Huu mchezo Mrusi anauangalia tu kama observer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…