Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Wakuu salamu za heri ziwafikie. Kwa walioko Stockholm ninaomba maelekezo/ramani ya namna ya kufika ubalozi wa Tanzania. Rafiki yangu ameomba Msaada kwani Hana uzoefu na mambo ya ramani. Kila nikigoogle vitu vinakwama .
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.