Ubahili wa wachagga

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Wametengeneza mbege ili kuokoa bajeti ya pombe chakula na dawa wanaitumia mbege kama kifungua kinywa asubuhi, wanaitumia kama lunch, wanaitumia kama kilevi wanaitumia kama dawa ya kusafisha tumbo, wanaitumia kama kata kiu. ndio maana uchagani hata mtoto mdogo anakunywa mbege ila shida ni moja tu haina alkohol percentage
 
Mbege inasafisha tumbo au inaleta amoeba?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mbege ni kinywaji cha asili kama vilivyo vinywaji vingine vya asili kama togwa,ulanzi na vinginevyo ambavyo sivijui ila sio kama unavosema asubuhi mchana na jioni kwa ajili ya kubania pesa hapo umechemkaa mkuuu pole
 
najua kilichokuudhi ni kuwaita wachaga bahili,ichukulie kawaida tu kwakuwa hao ni watani zangu
 
Hahahahaaaha haya mtaniiiiiii wala ugali kwa picha ya samaki

Unalipiza eeh...! manake nasikia mchaga akikosa cha kuiba huficha hata nguo yake halafu huikwapua na kutimua kwenda kuificha yani anajiibia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…