Uchokozi huo Honey Faith najua unayetaka kumtaja
wachagga bana
Utaniuzia kesi sitaki ila kuna mahali umemtaja
Nani huyo?anayeanzia na m au u?ni yupi kati yao?
U???? ama macho yangu?
Afadhali umekuja kiongozi cc:honey faith
Huwa sipendi umbea nisham-pm mshkaji hayo maneno ya Honey Faith ayaone
mshana jr kweli kwamba Honey Faith anajua huo mguu wako...?Afadhali umekuja kiongozi cc Honey Faith