KIPAUMBELE sir
Member
- Jan 1, 2016
- 80
- 12
Hakika Dunia inapaswa sasa iamini kuwa kumbe kitendo cha CCM kugomea matokeo ya uchaguzi Zanzibar in UBAGUZI.Na sio dosari za kiuchaguzi.CCM Jana kwenye sherehe za Mapinduzi wanachama Wa CCM wakiwa kwenye sare za chama chao huku wakiwa mabango yaliyoandikwa maneno ya kibaguzi walipita mbele ya Rais wa Zanzibar Na Rais Wa Jamhuri huku bango hill likiwa juu.CCM imefika pabaya sana.