Ubaguzi wa Ajira Benki ya Posta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguzi wa Ajira Benki ya Posta?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Feb 18, 2009.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  EXCITING CAREER OPPORTUNITY WITH TANZANIA POSTAL BANK

  2. CHIEF OF HUMAIN RESOURCES - One (1) Post

  Reporting to Head of Human Resources Procurement and Administration

  DUTIES AND RESPONSIBILITIES

  •Develop human resources policies and strategies and oversee their implementations.
  •Develop, implement and evaluate employee performance management system.
  •Provide leadership on employee recruitment, placement, grievances, discipline and welfare matters
  •Serve as secretariat to the Appointment and Disciplinary Committee meetings.
  •Implementation of manpower policies and plans as approved by higher authorities.
  •To maintain staff personal confidential files and up to date personnel records.
  •To liaise with the trade union and labour office on matters concerning industrial relations.
  •To recommend, interpret and administer staff rules and regulations and recommend staff fringe benefits based on systematic performance based evaluation.
  •To ensure implementation of the departmental annual plans according the strategic plans.

  QUALIFICATIONS:

  •Holder of a Master Degree in Human Resources Management, Public Administration or related field.
  •Holder of Postgraduate Diploma in Law, Mediation and Arbitration shall be an added advantage.
  •Ability to interpret current labour laws.
  •Working experience of not less than five (5) years in a similar post.
  •Knowledge of banking shall be an added advantage
  •Age limit; 45 years

  INTERESTED?

  If you believe you are the right candidate for the above positions, please send your application, detailed curriculum vitae, photocopies of academic certificate, testimonials, contact of three referees and day time communications to the address below.

  In addition please summarize yourself as follows:  Tanzana Postal Bank


  Nimeshangaa wakati napitiapitia kwenye mtandao wa benki ya posta kukuta kuwa kuna ajira ambazo moja ya vigezo ni umri. Nafikiri hili suala kwa wenzetu ni ubaguzi wa hali ya juu na linawakosesha watu ambao wana uwezo na uzoefu nafasi ya kupata ajira nzuri kwa hicho kigezo cha umri. Wadau sijui mnaonaje hili? Je kuna kaufisadi ndani yake i.e. nafasi imeandaliwa kwa ajili ya mtu fulani?????????????????? Nawasilisha
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mr. Zero,

  Sidhani kama hilo tangazo hapo linaonyesha ubaguzi fulani na limelenga kwa mtu yeyote kwa kuweka kigezo cha umri.

  Kwanza kigezo cha umri kilivyo wekwa hapo sio clear sana ''AGE LIMIT, 45 YRS) sasa je, kwamba those younger than 45 don't qualify or kinyume chake i.e those older than 45 yrs do not qualify...which is mor likely!

  So mkuu to me sioni ubaguzi wowote, ila tu kigezo hicho hakipo clear sana!

  Anyway, ushauri wangu kigezo hicho ni kidogo sana kuliita tangazo hilo lina ubaguzi, kama unameet vigezo vingine kwa hata 60% na unaitaka hiyo job mi nakushauri uiombe tu!
   
 3. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama ni ubaguzi, ni utaratibu tu ili kukidhi mahitaji yao. Sijaelewa hiyo age ni upper au lower limit, ila nadhani tu kwamba walimaanisha asizidi miaka 45. Kama ni hivyo basi wanataka wawe naye kazini kwa muda mrefu kabla hajafikisha umri wa kustaafu. Si hao pekee, ukitaka kujiunga na ajira za majeshi umri utakaovumiliwa ni maximum 32 years, tena hapo ni kwa yule aliyesoma masters degree. Kama ni sekondari tu sidhani hata 25 utapokelewa. na kuhusu lower limit, kuna mfano wa mgombea urais wa Tz, nimesahau kidogo (kwa kuwa sina mpango wa kugombea) ila lower limit ipo ili kumpata mtu mwenye ukomavu wa mawazo asije akachanganya urais wake na mambo ya ujana then ikawa vituko kama vinavyomuandama waziri mmoja kijana.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Sasa utaajiri mtu at 57 na ana miaka 3 tuu ya kustaafu?
   
 5. M

  Myamba Senior Member

  #5
  Feb 18, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mr. Zero, sehemu nyingi tu wana age limit. Lakini nia yao si ku-limit applicants but rather wanahitaji mtu atakayewafanyia kazi kwa muda wa kutosha kabla ya kustaafu. Hivyo usihofu hiyo age limit. Kama una vigezo vya kutosha watakuchukua tu.
   
 6. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hivi wewe unaelewa maana ya age discrimination au unaongea ili mradi tuu!! unatia kichefuchefu na commet hii kwa kweli..
   
 7. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mkubwa Kapinga,

  Mimi nimekosea nini hapo?

  Ok inawezekana sijui ''AGE Discrimination'' ina maana gani, lakini heading ilitaja ''Ubaguzi wa Ajira Benki ya Posta''

  Mbona umewaka sana ndugu yangu, siungenisahihisha basi makosa kwenye comment ndugu yangu?

  Nakushauri urudi uisome vizuri post yangu kama hujanielewa...then unirushie mawe yako bosi!
   
 8. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2009
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,504
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kuanzia miaka 46 hutakiwi kubadilisha ajira?? Ingekuwa ni junior post ningekuelewa lakini hii ni very senior post ambayo inahitaji mtu mwenye uzoefu. Mbona akina Balalli wameajiliwa mpaka wakafia kazini. Akina Idrisa bado wanapeta tu na umri umepita!!!!!!
   
 9. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2009
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo vijana wanaograduate hivi karibuni hawatakiwi kupata ajira kwa mara yao ya kwanza? Si afadhali wewe unayo ajira tayari na uzoefu. Kama suala ni kubadili ajira, unaweza ukafungua enterprise fulani ili nafasi utakayoiacha wazi hapo ulipo ichukuliwe na fresh graduate mwingine, at the same time utengeneze ajira nyingine kupitia enterprise yako.
   
 10. Tulamanya

  Tulamanya Senior Member

  #10
  Feb 19, 2009
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KA PINGA.......!

  Ubongo wako lazima utakuwa umeliwa na mchwa walio utafuna ujamaa TZ.......! Soma post zote hapo juu uone kama zinamtazamo tofauti na huo wa NL? Au ulipata chang'aa kabla ya post hiyo!

  Na hicho kichefuchefu usisingizie hiyo post.....kitakuwa ni kimimba chako ulichopewa na AL kwa uroho wa mipesa....pole...get well prepared mjomba!

  Ushauri wa bure, post yako inatia kinyaaaaaaaa....aaaaaaaaaaargg..iondoe!

  ma**ko wewe!
   
 11. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama huna cha kuchangia unaweza kuwa kimya tu ukasoma walivyochangia wenzio, si lazima uandike kitu..........toa mchango unaofikiri utawasaidia wasomaji wengine pia ndugu yangu!
   
 12. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ipo clear, AGE LIMIT maana yake usizidi hiyo limit. hivyo ni 45 kwenda chini. Hii ni nzuri tu haina tabu.
   
 13. B

  Bucheli New Member

  #13
  Feb 24, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ubaguzi upo katika mabenki mengi sasa hivi siyo benki ya poste tu.
  BOT wanapaswa kuangalia sana kitendo hicho. Baadaye itakuwa na madhara kwa utendaji wa mabenki, fedha za wateja zitadhurika sana.
   
 14. j

  jibabaz Member

  #14
  Feb 25, 2009
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Next Level and BM21 i think Mr Zero is quite right in his assertations kwamba kuna ubaguzi hapo benki. I also think alitaka kusema kuwa huo ubaguzi ni wa umri in which it is quite correctly. In any society inatakiwa kuwe na equal chances za wananchi kufanikiwa na hii ya 45 years ina hinder that development.
  Wenzetu wa USA wanalo hili swala liko chini ya Title VII Act na Age Dicrimination Act iko ndani yake tangu 1967. Hii ni muhimu kwa nchi yetu kuwa na utetezi kwa ubaguzi huu (kama haupo) haswa ukizingatia kuwa huma resources comes in all sizes and shapes. natetea hili nikiwa sijafikia kabisa huo umri wa 45 bali kwa kuwa katika nchi yoyote lazima kuwe na groups ambazo zitakua na mteteizi (serikali) sababu in any other time hawatakua na mtetezi. Mfano wa haya ma group ni kinana mama (UWT, WAMA nk), wazee, wenye mimba nk.
  Je katiba/bunge/sheria zinasema nini kuhusu hili? Wenzutu wana EEOC-Equal Employment Opportunity Commision, ambacho ndicho chombo responsible kusimamia utekelwezaji wa hio Discrimination ya makazini..kama hii ya umri.

  More information hapa:
  Discriminatory Practices

  angalia discriminatory practices under the laws.

  Cha kujiuliza ni je is it legal, or ethical (Next Level, BM21) to discriminate against age? Na pia if just because it not illegal (by law) kupanga huo umri, je is it ethical? (kwi kwi ingawa sijui kama viongozi wetu wanajua ethics maana ufisadi usingalikuwapo lest ethics was known)If so basi hakuna ubaya ku discriminate kwa wanawake, kwa kunyima kazi kinamama sababu wana mimba, kunyima kwa sababu yule ni mchaga ama sababu ni mgogo kama mimi!! :)
   
 15. MyTanzania

  MyTanzania Senior Member

  #15
  Feb 25, 2009
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mada zingine muwe mnaangalia.Unataka waajiri above 45 halafu wakae nae muda gani? Tuziache bank zetu ziendeshwe kibiashara,zinahitaji kupata watu energetic and young more than that.
   
Loading...