Ubaguzi unaendelea kuitafuna CHADEMA


Alichokiona Edwin Mtei miaka ya 80 CCM wakaona hakifai miaka 15 baadaye walikuja kula matapishi yao. Privatisation. Mzee mtei hajawahi kutimuliwa kazi popote kama unaushahidi uweke hapa. Ninachojua ni kuwa Mtei hakuweza kufanyabkazi na watu wenye maono mafupi mithili ya maisha ya funza. Na wewe akili zako hazijazi hata upana wa ncha ya sindano kwa hiyo huwezi muelewa Mtei hadi ufe. Yeye anakula penshen yake wewe ongeza post JF.
 

Ajaribu kutumia hlo neno aone kama kibarua hakitaota mbawa
 
Hakuna watu wasiojielewa kama ccm,hakuna chama chenye ubaguzi tena wa wazi kama ccm,mleta ajenda hii naomba aeleze tangu 1995-leo nani aliyasema haya au wanaccm mnasingiziwa?

*1995 mlisema hatuwezi kutawaliwa na Mmakonde,Mwl akiwa Mbeya akasema " hatutamchagua mtu kwa sababu ya dini yake,su kabila lake,na hatutaachs lumchagua mtu kisa tu ni Mkara au ni Meislam Mhindu,Mkristo,hata asiye na dini tutamchagua ns kutengeneza utaratibu wa kumwapisha"


* Mkapa aliwahi kumtishia kumfukuza aliyekuwa mkuu wa Mkoa na mjumbe wa cc ya ccm ndg Jr Ulimwengu kuwa sio rsia!


* Mwaka 2005, ccm walimwita Dr Salm Ahmrd Salm kuwa sio Rais wa Tanzania, ni mwarabu,

*Husein Bashe akaambiwa na cc baada ya kushinda jina lake akakatwa eti ni msimsli,tangu hapo hamjawahi kusema kuwa wote hawa si watanzanis au la,

Hamkuishia hapo,mlisema kwa Wenje na viongozi wengi ea chadema,Watanzania hata kama mnadhani mbinu ya Zzk ndio kiki tumewatambua tutawashughulikia endeleeni kuleta jf thread za ubaguzi kama mmekosa hoja,anzisheni mashindano ya fisi niko tayari kuchangia

*
 
Ndugu,
Kama hiyo ndiyo hoja yako na unafahamu hivyo, kwa nini ulitaka kwenda mahakamani baada ya kanuni na katiba hiyo hiyo kutumika juu yako.

Kwa mantiki hii, nani mnafiki hapa kati yangu na wewe.

Mmejitahidi we kucheza na propaganda mkajisahau propaganda sio ukweli, matokea yake nyinyi vijana mmelelewa kwenye propaganda na kukulia huko, kinachoendelea hivi sasa waanzilishi wa propaganda wamezeeka, dunia nayo imebadilika ila imeacha athari kwenu vijana. Leo hii mnalazimisha propaganda ndio hizo zinawaacha uchi. Kama kweli mngekuwa mnapambana na chama dhaifu na chenye mapungufu yote hayo inakuwaje daftari la wapiga kura kwa njia ya BVR limekuwa gumu kutekelezeka? Leo hii mnaoogopa kile kizazi ambacho hakiogopi propaganda kwani kimegundua ni wapi kilijichanganya na sasa kimejua thamani ya kura yake. Hamumpati tena mtu kwa njia ya propaganda na watu wameamua kuanzia kikundi kama kile(green guard) mnachotumia kuua watu, kuwaacha na ulemavu wa kudumu sasa hivi wameamua kula sahani moja na nyinyi. Kama sio hivyo toka juzi unaleza post za kulaumu redbregade na unaulizwa utoe maelezo ya kina kuhusu green guard ambayo unaifahamu malengo na utashi wake lakini unakwepa kutoa majibu bali umebaki kuzungumzia redbregade usiyoifahamu zaidi ya propaganda mfu. Hapa ndio pale ninapokuambia huna hoja. Tunawangoja kwenye uchaguzi mkuu, hili la katiba mpya maaskofu wameshatilia mkazo kile ambacho tulishakiamua.
 
Kwa siasa hizi mfilisi Wachaga waondoke ccm na watani zao,wanyakyusa nao waondoke ccm na watani zao,wasukuma wote waondoke ccm na watani zao chama wawachie Mwigulu,Nape,Kinana na Wanaoona inafaa
 
Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?

Punguza upotoshaji na unafiki

Kumuwekea mtu sumu? kwa ushahidi gani? wa kumminya mtu makende na kumlazimisha aseme alitaka kuweka sumu? ilikuwa lazima kufanya hivyo kama kuna ushahidi dhahiri? Hizo sumu wanachadema huwa mnazipata wapi? maana ni ninyi tu wataalamu wa kuwekeana sumu kwenye vimiminika, why? Mara umesahau yaliyokukuta?
 
Lizaboni
hakuna binadamu hata mmoja aliyewahi kumsifia adui yake, daima ni kumponda kwa kila namna awezavyo.

Chadema wakifukuzana wewe ccm inakuuma nini? Kwanini usifurahi na kushangilia kimyakimya kwa kuwa wanajibomoa wenyewe? Unatamani kushiriki dhambi ya ubaguzi kwa kuutangaza ubaguzi wa chadema?

Bila shaka ktk vita au mapambano siku mtego wako ukimnasa adui siku hiyo huwa ni siku ya furaha sana, lakini huwa ni kinyume pale mtego unapoteguliwa hakika huwa inauma sana.

Mlitege pabaya, tena peupe mlie na kusikitika kwani adui yenu amefahamu kuwa alikuwa ametegeshwa na kuamua kutegua mtego wenu.

Kumwaga damu isiyo na hatia ni vigumu sana.

Waliojifukuza chadema waacheni watafakari jamani, ila kama inawauma waiteni muwape nafasi kwenu.

CHADEMA SIO CHAMA CHA WACHAGA, NI CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO

Mungu ubariki tanzania na wakaao ndani yake, wena na wabaya maana ndivyo tulivyo na tutaendelea kuwa hivyo, lakini baba kwa mapenzi yako ikiwwzekana utufanye kuwa wenye amani, upendo na mshikamano. Amina.
 
Last edited by a moderator:

una siasa chonganishi sawa na wanaopiga ramli chonganishi, ya chadema wewe kada wa sisiemu yanakuhusu nini?

Kuwa huru ktk kufikiri, usifikiri kwa mkumbo itakusaidia kuchambua jambo vizuri.
 
Mkuu mjepo CHADEMA wanafanya kitu cha maana sana mkuu. Wanaendeleza uchagga!!!! Ofisi yoyote akipewa mchaga itakuwa ni ya wachaga tu. Halafu wanajionaga wana akili kweli kumbe vilaza tu.

Hyo sumu mliojazwa hapo lumumba yakuhubiri uchaga na ukabila hakika itawamaliza. Je wachaga ndio wamefanya maisha yenu yakawa magumu na kuruhusu watu wengine wafikirie kwa niaba yenu?
 
Last edited by a moderator:
Mwanadiwani hoja ya ubaguzi ilishachuja labda muanzishe nyingine! Tangu muanze kuisema chadema imezidi kuenea hata ambako hatukutegemea kifupi hoja hio imezeeka bila hata mtoto!
 
Tatizo sio kuwasiliana bali uwasiliana kwa sababu zipi?Kumuwekea mtu sumu?Kutoa siri za vikao?

Punguza upotoshaji na unafiki

Hao usalama wa taifa wanawapa "siri" kwa sababu ipi? Sidhani kama mna pa kutokea kwenye hili la kuteka, kutesa na kujeruhi raia wema. Dhambi hii haitawaacha salama hata kidogo.
 
Wewe ccm unayajuaje ya chadema sio umbeya huo,kuna mengine si ya kushadadia ubaguz unaujua wewe,au unaongea tu
 

Wewe unakufuru kumtaja mpendwa wetu baba wa Taifa! Maana timu yenu imesusia siasa zake. Na hii inaonyesha unafiki mlio nao. kumbuka wale ambao wako karibu au walikuwa karibu na baba wa Taifa wanajua kuwa nyie ni wanafiki tu.
 
You said it very well.Big up as i have no more words.You said it brilliantly.Congratualtion
 
Chadema siyo chama cha demokrasia na maendelea kwani
Hakuna democracy ndani ya chama hata ukiuliza ruzuku utaitwa msariti, hakina maendeleo yoyote tangu kianzishwe 1992 wala kitega uchumi pia kina kwamisha maendeleo nchini.chama siyo chama cha wananchi bali ni chama cha mtu bimafsi kwa manufaa ya familia yake binafsi.
 
Hao usalama wa taifa wanawapa "siri" kwa sababu ipi? Sidhani kama mna pa kutokea kwenye hili la kuteka, kutesa na kujeruhi raia wema. Dhambi hii haitawaacha salama hata kidogo.

Bila kusahau kumiliki. chumba cha kutesea watu.
 
Hyo sumu mliojazwa hapo lumumba yakuhubiri uchaga na ukabila hakika itawamaliza. Je wachaga ndio wamefanya maisha yenu yakawa magumu na kuruhusu watu wengine wafikirie kwa niaba yenu?
Yes!Yes!Yes!Yes! Wachagga wamesababisha maisha yawe magumu ndiyo!!!! Ofisi akipewa mchaga ataweka wachagga wenzio kibao. Dili zote za hela ni haki ya mchagga. Per diem zote wanapeana wao tu. Wao wana matumbo na midomo lakini sisi makabila mengine hatustahili kula. Wanajilimbikizia mali wakati sisi wengine hata kutuachia haki yetu ya kuongezewa mshahara tunanyimwa. Wanajiongezea wao tu. Ukiuliza utaambiwa hujakidhi vigezo. Wakati kazi zote ngumu unafanya wwewe na mchaga kazi yake kupiga dili za hela tu. Kazi kuzunguka mitaani kupiga hela wakati kazi za ofisini hafanyi.
Kwa mtindo huu lazima wachaga watakuwa wamesababisha maisha yetu yawe magu. Naam huo ndio ukweli. Kifupi roho mbaya yao ndio tatizo na si tatizo jina la kabila. Uelewe.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…