Ubadhirifu Jijini Dar es Salaam: Alaumiwe RC Makonda au Madiwani wanaoendesha Manispaa?

Rais mwenyewe kashtukia deal. Mradi una exgerations. Kwanza wanamdanganya rais kuwa wanajenga ghorofa( siyo kweli)
Few years ago mradi ulikadiliwa kutekelezwa kwa 6bn, kwasada serikali ilikadilia 12.5bn, bashite amepitisha 14bn. Hata hivyo kuna similar projects zinatekelezwa pwani kwa fedha pungufu-------------'------- ngoja nasubiri ukweli utajulikana
Hamumpendi tu bashite ila huwezi sema kuna ufisadi wakati structure haijajengwa. Unajuaje kama materials zitapishana. Subiri structure iishe ndio useme kuna ufusadi
 
Huwo mradi uliochukua bil 14 iko wapi? Tumia akili mkuu sio kila linalosemwa unakubali. Mradi hata tofali halijasimikwa unasema kuna ubadhilifu.
Kwenye jinai cha kuanza kinachotazamwa ni nia ya kutenda uovu. Ninanukuu hapa principle ya kisheria;

Actus Non Facit Reum Nisi Mens Sit Rea

"explains that for any act to be illegal in nature it must be done with a guilty mind. Thus to convict the defendant, it must be proved that the criminal act was carried out with a criminal intend. Not only is the act of the accused important but the intention of the accused to do the specific act is equally important to prove the guilt of the accused."
 
Kwa taarifa yako Meya wa Kinondoni Benjamin Sitta ndiye alimtambulisha kwa Samuel Sitta. Hawa wawili walisoma pamoja chuo cha uvuvi. Na nadhani unajua kabisa kuwa Samuel Sitta ndiye aliyemlea, kusomesha na kimpromote UVCCM huyu Bashite.

Uhusiano wa Bashite na Benjamin Sitta inawezekana ili influence na Benjamin Sitta kuwa Diwani na hatimaye Meya wa Kinondoni. Watu wengi wamepata uteuzi wa JPM kwa influence ya Bashite

Pili Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Aron Kugurumjuli ni Best Man wa Bashite wakati Bashite alikuwa anaoa. Na ni Bashite aliyehakikisha anakuwa Municipal Director wa Kinondoni kwa kumpigia debe kwa Jiwe. Na ndiye huyu aliyetumika kuwanyima barua wasimamizi wa uchaguzi mdogo mwaka 2017 na kusababisha mauji ya Akwilina.

Uki connect dots utamkuta tu Bashite kwenye zabuni za miradi yote miwili ya machinjio na Coco Beach.
Haina namna, tufukue makaburi tu
 
Back
Top Bottom