Ubabe wa Israel Kijeshi

Wanajiita taifa teule kenge wale[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Israel sahivi size yao sio Hamas tena labda Panyaroad!!
 
Merkava tank inavunjwa na rpg ya Yasin 103 vile ni vifaru au box?
 
Tiktok army[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Pongezi nyingi sana kwa nchi kama China, Iran na Russia, kuhakikisha kwamba hizi tech hazina upekee wowote, unaona kama Iran amemsaidia Russia drones, Russia na yeye katoa drones zake zinatumia AI ni noma na nusu.

Mambo yanabadilika kwa kasi sana. Hii sio miaka ya 60 na 70.
 
Mmepata pause ya siku 4 tu mmeanza kelele,subiri mambo bado hakuna gaidi atabaki salama safari hii,unapomsema Israel tuambie wewe umefanya nini angalau Israel umetaja alichokifanya kwenye six day war,nyie kama wapelastina mmefanya nini,mmeshindwa kuunda taifa miaka nenda rudi,tena mmegawanyika wenyewe kwa wenyewe mna Gaza strip mna west bank,mtaweza kushindana na Israel wenye serikali imara miaka nenda rudi?
 
Ngoja waje Waisrael wa ifakara waanze kukuletea taarifa za Oparesheni Entebbe ya Kule Uganda,

yani fact nyingne naonaga ni za kipuuzi kweli kweli Hiyo oparesheni yenyewe ya kujisifia ni kwa Nchi kama Uganda kweli !!? Nchi ambayo hadi sisi Watanganyika na Mabomu yetu ya kienyeji kipindi hicho tuliweza kuwapiga.
 
Hata mimi nashangaa sana.

Gaza is small area kwa Israeli tunayoambiwa inaweza kupiga dunia nzima
Ni kama Urusi tu.

Vita sio mchezo.

Hamas ni wanaume
Sasa fikiria hao mateka kwa nini hawa wafikii hadi waingie makubaliano kuachia watu 150 dhidi ya 50? ina maana wameshindwa totally, wamebaki kutumia media tu, vitu vingine ni kujiuliza maswali mepesi tu.
 
Iran na yemen wame beep majibu wanayo,wanawake na watoto ndio wahanga wa huo uchokozi wao.Kuhusu Iran anajijua kuwa ndiye next target kwani historia mmeisahau?wana allah kwa mayowe hamjambo tumewazoea.
 
Aisee wametengeneza hadi na movie😂😂😂, dah taabu tupu mkuu, ndio ujue propaganda ni noma.
 
Israel wamepata dharau ya mwaka aisee yani Wanapelekeshwa na hao Wanamgambo wanaopokezana Bunduki,

Hzi nchi zinaogopeka kweny makaratasi tu ili Front ni Urojo kabsa, kama hiyo iron Dome ndo mashudu matupu ilivyokuwa inapambwa humu Mitandaoni na inacho deliver ni vitu tofauti,

kiufupi Israel baad ya kuona kazidiwa maarifa akaamua sasa kupigana na Maghorofa na Watoto wa Wodini, aibu sana hii
 
Wawashukuru Qatar ndiyo wamewabembeleza Hamas walikuwa wamekata kuwaachia mateka yule Waziri wa Ulinzi mikwara kibao no water no food no electricity😂

Halafu wanaingia usiku na vifaru kiza Gaza wamechezea kichapo wanasema hawafahamu Hamas wanatokea wapi.
 
Unasikia zile story zao walienda kuua mtu hotelini😂, eti wakatumwa kidon na kikosi cha ku hack😂, aah jamaa kwa story na kujipamba hawajambo, Gaza hio hapo imewashinda.
 
Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.
Bila chanzo cha hii taarifa, hii ni mojawapo ya soga tu.


Kuokoa mateka 200+ kwa wakati mmoja haiwezi ikawa rahisi kama unavyojaribu kutuonyesha hapa.

Isitoshe hao Hamas sio jeshi kamili (conventional army) Ila wanamgambo tu wanaoweza kujichanganya na raia muda wowote wasitambulike.


Kingine Israel hajashindwa Vita ndio maana northern Gaza yote ipo mikononi mwao na kusitisha Vita ni kwa ajili ya mahitaji ya kibinadamu tu hasa kwa raia wa Gaza.

Alafu acha kushabikia Vita maana wanaokufa wengi wao ni watoto wadogo, wanawake na raia wa kawaida wasio na hatia.
 
Aliye omba mazungumzo ni Israel mzee, na amekubali matakwa ya Hamas, mi nakuuliza Gaza ilivyo ndogo na inelligence ya Israel mlioaminishwa inakuwaje wanakubali kubadilishana wafungwa na Hamas na wafungwa wapo Gaza pale? Kaeneo kanazidiwa na wilaya ya Kigamboni almost mara mbili?

Wapalestina waliwakaribisha Israel kirafiki, lakini wao Israel ndio chanzo kuwavuruga.
 
Vita vyote alivyopigana Israel dhidi ya waarabu,nyuma yake palikua na USA, UK na france
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…