100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,188
- 36,395
Tech ya Iron dome haina chochote cha ajabu, upuuzi mtupu, kuna hivyo vi tank vya merkava ndio uchafu kabisa, sasa kundi la migambo wana kanzu na vilemba wanapiga merkava na iron dome, sasa kama unavyosema zikija nchi zenye nguvu kijeshi kama Iran si utapigwa ukimbie.Chapuo la iron dome ni la hatariii... Viroketi vya kutengengeneza uwani vinapenya. Najiuliza je yakirushwa yale madude ya kutisha kutoka iran itakuwaje?
😂Kwamba kitanda cha Mungu. Kimekua kitanda cha shetani.😂Ila tulilishwa propaganda sana, wana kifaru kimoja wanakiita kitanda cha mungu, wayahudi wa Baga moyo walikuwa wanashinda humu wanatulisha matango pori ya kuwa huwa hakipigiki na ant tank yeyote kwa sababu kina mifumo ya kujilinda, lakini leo tunaona vinaunguzwa na vi ant_tank vilivyo tengenezwa kienyeji na visivyo kuwa na nguvu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nimecheka[emoji23]Kwamba kitanda cha Mungu. Kimekua kitanda cha shetani.[emoji23]
Kingine kinachopelekea hawa jamaa propaganda zao kuaminiwa ni hawa viongozi wa dini ambao hawajui historia wala elimu yeyote, kama kuna dada mmoja mke wa mchungaji nikaona status eti I stand with Israel [emoji23][emoji23][emoji23], Hajui hata anachosema.
Wamelishwa matango pori kwamba its choosen one, wana akili, hawapigiki, nchi takatifu[emoji23].
Israel hata ikitengeneza manati utaambiwa sio ya kawaida.
Iran hizo sio show zake, Iran show zake unazijua, Iran atatumia kundi kama Hezbollah ambalo analipa back up, na walimchapa Israel 2006. Iran haingilii shoo za kitoto kama hizi, Iran ilipiga kambi ya US pale Iraq mbona Trump aliufyata, nchi gani ilishafanya hivyo? kupiga kambi ya US, Trump alitoa warning kwamba jibu lolote kutoka IRan litapelekea kipigo, mbona alikaa kimya..Shida iko wapi? Nyie mmechanganyikiwa, huyo Iran mnayemsifia amepigana vita vingapi hivi karibuni? Mbona huyo Iran ameogopa hata kunusa pua hapo Gaza?
Kwenye top 10 google hapo Israel haimo, sasa huo u genius waliutoa wapi?Propaganda waliaminisha watu eti ni mageneus [emoji1787][emoji1787]
Dunia imebadilika siku hizi sema mafan boys hawataki kukubali.Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.
Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.
Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.
Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.
Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.
Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?
Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.
Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.
I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.
Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
Kipindi kile si unajua Uncle Sam alikuwa anampa silaha ,ndege na pesa awaandike waarabu, sasa US yenyewe sasa hivi watu wanaivimbia.Dunia imebadilika siku hizi sema mafan boys hawataki kukubali.
Yale madrone yaliyokuwa anayo marekna us na ufaransa na israel siki hizi iran, china, uturuki wanayafyatua kama mitoy yanawafikia hao mgambo pia.
Vitu vingi ambavyo zaman walikuwa wanavitumia kunyanyasa watu hata hap nao wanavyo so vita aliyopigana na waarab kipindi kole akawashinda ikipiganwa leo hawezi kutoboa
Mwendawazimu ni wewe.Humu wendawazimu wamekua wengi kweli, inabidi kue na mtihani wa utimamu wa akili kabla ya mtu kumiliki account ili kuepusha wendawazimu kama huu
Hata mimi nashangaa sana.Vile vi operation uchwara kupaisha yale mabati kwenda kupiga vinu vya nuclear kule Syria na Iraq viko wapi? vile vi covert operation vya kipuuzi ambavyo vinapigiwa chapuo miaka na miaka kwenda kuua watu iko wapi? Vistory vya kijinga toka miaka ya 60 vya six days war😂.
Hio six days war kashindwa kuidhihirisha pale Gaza, kaeneo km square 369, Kigamboni hio ina 578km square. Kuna vitu vinachekesha, nchi inapigana na wilaya hadi inaomba poo😂, ni aibu.
Israel ni mtori, tena mlenda kabisa, ona sasa askari 3000 wamelamba mchanga, tanks zaidi ya 300 zimepigwa. Wananchi full kuandamana.
Wakajifanya kuingia Gaza kutafuta mateka kuionyesha dunia wao ni wababe, matokeo yake wamelambishwa mchanga hadi wakaomba mazungumzo. Na mateka hata mmoja hajapatikana. Kinacho shangaza zaidi mateka wapo pale pale Gaza. 😂 , wazee wa intelligence duniani, Mossad akina kidon wako wapi? Ile unit ya vijana hackers hatari sana duniani iko wapi ile unit 8200😂, dah propaganda mbaya sana.
Israel ina propaganda sana, na katika watu wanajua kuji brand hilo nawasifu, wanajua kujisifu na kujipigia chapuo na kuaminisha wengine ambao ni vilaza, wakifanya kitu kidogo kelele kibao wakati kuna watu wanafanya vitu vya hatari kuliko.
Hizo intelligence na highest tech kwenye military viko wapi? mnashindwa kutumia umwamba wenu kupambana na vijana wamevaa viatu vya adidas na track suit tena kwenye kaeneo kama Gaza, nyie mmevaa full gear na magloves yenu, boots na gogles na bullet proof, badala yake mnapigika hadi aibu. Misaada toka ulaya yote na USA viko wapi?
Mmejipanga msururu na vifaru, magari ya deraya, airforce lakini mwishoni mmeishia kuua watu 14000 kati yao watoto ni nusu yake. Na raia wasio na hatia.
Yaani unaua vitoto karibu 7000 havijui chochote, ugaidi wa kutisha kabisa.
I bet Israel hata South Africa haiwezi pambana nayo, usiende Iran wala Korea huko atachapika apotee.
Israel imeonyesha uchovu wa hali ya juu, sasa wazee wa kazi Hezbollah wameingia kazini, hapo Netanyau lazima akubali tu, kwa sababu hadi sasa wananchi wanawatukana viongozi wao hawana akili.
ISRAEL ARREST MORE THAN 350 CHILDREN FROM JAN 2023 TO MARCHTech ya Iron dome haina chochote cha ajabu, upuuzi mtupu, kuna hivyo vi tank vya merkava ndio uchafu kabisa, sasa kundi la migambo wana kanzu na vilemba wanapiga merkava na iron dome, sasa kama unavyosema zikija nchi zenye nguvu kijeshi kama Iran si utapigwa ukimbie.
Ndicho hicho. Kama hadi kidukunna vikwazo vyote anatengeneza mabomu ya masafa marefu, njoo kwenye vita ya ukraine drones hadi ndogo ambazo zinauzwa dollar kadhaa zinakuwa modified kufanya kazi za warfare.Kipindi kile si unajua Uncle Sam alikuwa anampa silaha ,ndege na pesa awaandike waarabu, sasa US yenyewe sasa hivi watu wanaivimbia.
Unachosema ni kweli, Japan ilimnyanyasa China, leo iko wapi?
Israeli ni Taifa La Mungu kama hutaki kumywa sumuIsrael si chochote si lolote,ni uzushi na uongo,halafu Israel kuiita ni taifa la mungu,ni upumbavu wa kiwango cha degree.