Ubabe mwingine bwana!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,620
752,055
ca42996911728d930ccfa7635d90e753.jpg
 
Safi sana... kama nguvu huna hata mkwara basi... usije shangaa ng'ombe anakula kichapo...
 
Kuna video moja nilitazama kindege kidogo kama kunguru sijui kinaitwaje, kilimsimamia jogoo walipigana mpaka jogoo kakimbia mwenyewe,
Na kuna nyingine jogoo kapigana na kondoo mpaka kondoo kakimbia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom