Leo nimewanasa Halotel kwa kuonesha ubabaishaji katika matumizi ya MB. Sina uhakika kama ni wizi au ni system yao ya kuangalia salio ilipata shida.
Ipo hivi:
Saa 04:03 PM salio lilikuwa MB 60.
Saa 05:19 PM salio lilikuwa MB 17.
Saa 9:33 PM salio likawa MB 33.
Je, ni system ilipata shida au huwa ni wizi wanaufanya hii mitandao ya simu kwa kuwaibia wateja MB?
Naambatanisha ushahidi wa picha za sms za salio.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app