Hakuna kitu kama hicho Sheria ya kazi na mahusiano kazin na circular mbalimbali za utumishi zinasema mtumishi anapotuhumiwa na jambo lolote mwajili atamsimamisha kazi na atapata mshahara wake kamili kipindi chote ambacho atakua kasimama kazi kupisha uchunguzi sasa lete hapa kesi ya huyo mtumishi ni nan kwa jina lake na alifukuzwa kazi wapi na kesi ilikua katika mahakama gan na ruling yake ilitoka lnnakupa hiyo assignment katafute mtaani unakoishi hizo habari ukikosa njoo useme nimekosa
Safi mkuu nami naongezea nyama hapo juu chief na copy hii nondo yakoHii ndio thread ya mwaka.....yaani ina ubora wa aina yake. naomba usiweke haki miliki kwenye hii kitu niwe na kopi na kupesti maeneo mengine huko. Naomba niweke bayana hapa kwamba sijawahi kuona watu vigeugeu au nikipunguza ukali wa maneno binaadamu wasio na soni, vigeugeu kama hawa jamaa uliowataja hapa. Ngoja niongezee kweny hii listi
10. Ni hawa hawa walimwita Dr. Slaa chaguo la mungu, mkombozi tanzania one , leo anaitwa msaliti
11. Ni hawa hawa waliwaita CUF na kutuaminisha kuwa ni CCM B chama cha mashoga, waliberali leo ndio wamekua watetezi wao.
12. Ndio hawa hawa walimtukana Naibu spika Tulia wakidai anaharibu bunge, hana busara na wakimsifu Ndungai, kipindi yu mgonjwa leo Hafai.
1. Chadema walikuwa wakimlalamika Rais Kikwete kuwa ni Rais mpole, anatabasamu tu wanataka Rais mkali. Leo hii amepatikana Dk. Magufuli, Rais mkali wamegeuka na kuanza kumuita “dikteta uchwara”. Undumila kuwili hautawaacha salama
2. Ni Chadema hawa hawa waliokuwa wakichukizwa na watu kupeana ajira kiholela pasipo kuzingatia uwezo wala elimu ya mtu. Leo hii Rais Magufuli amefanya uhakiki wa ajira na kubaini wenye vyeti vyeki, majina feki na waliopata ajira kwa njia isiyo rasmi. Ajabu yake, Chadema wanajitokeza kulaani watu kutimuliwa kwenye kazi zao. Unafki hautawaacha salama.
3. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka mapapa wa matumizi ya madawa ya kulevya wakamatwe na kutajwa hadharani, ilipofika wakati wanatajwa hadharani wakageuka na kuanza kulaumiwa kuwa si vyema kuwataja Watu hadharani kwani tunaaribu CV zao mitaani ni baada ya Bosi wao kutajwa pia. Kumbe mkuki kwa Nguruwe, kwa binadamu mchungu.
4. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka Serikali ikusanye kodi kwenye maini, leo hii Rais Dk. Magufuli ameanzisha vita ya kiuchumi ya kuhakikisha kodi stahiki inalipwa kwenye madini kitendo kilichopelekea baadhi ya migodi kufungwa kutokana na wawekezaji kukimbia ulipwaji wa kodi. Migodei imefungwa, ajira zimepungua Chadema wanajitokeza kulaani kitendo cha Watu kupoteza ajira zao na kuilaumu Serikali. Ni Serikali iliyofunga migodi au waliokuwa wakichimba madini wamesitisha uchimbaji kutokana na kushindwa kuchimba madini? Serikali ina lawama kweli hapo? Ila Chadema wanasema ni Serikali ilaumiwe kufungwa migodi.
5. Hao hao Chadema wanasema kodi ikusanywe lakini wakati huo huo wanalaani Wafanyabiashara wakubwa kukamuliwa mno kwa kodi zinazokusanywa. Au walitaka hizo kodi walipe au watozwe kina nani kama si Wafanyabiashara wakubwa?
6. Ni hawa hawa CHADEMA walimuita KIKWETE Vasco Da Gama kisa anaenda sana nje ya nchi wakati ana balozi wa Mambo ya Nje na Uhusiano kimaifa kaja Magufuri kazuia safari za nje ziisiizo na tija wameanza kusema haendi nje sababu hajui kingereza unafik hauta waacha salama
7. Ni hawa hawa walisema Mhe Lowassa ni FISADI na over their dead body hawawezi kumruhusu kujiunga na Chama Chao lakini walimpokea na kumpa UFALME
8. Ni hawa hawa walimfukuza uanachama ZITTO KABWE kwa kutishia kwenda mahakamani kudai haki ya kichama kugombea UENYEKITI....ni yule yule Mwanaharakati anayejifanya MKUU WA SHERIA NCHINI aliyemtshia Zitto akihusisha Mahakama is OUT OF THE CHAMA....leo hii wanajifanya wanapigania MHIMILI wa MAHAKAMA
9. Ni Hawa hawa waliolalamika kuwa wameibiwa kura na kuilaani serikali iliyopo Madarakani kuwa imetumia wizi kuingia madarakani...lakini tena ni wao wao walikuwa wa kwanza KUMPONGEZA Kenyatta aliyetangazwa mshindi kwa kura za wizi kudeki LAMI hakutawaacha salama
Hii ndio thread ya mwaka.....yaani ina ubora wa aina yake. naomba usiweke haki miliki kwenye hii kitu niwe na kopi na kupesti maeneo mengine huko. Naomba niweke bayana hapa kwamba sijawahi kuona watu vigeugeu au nikipunguza ukali wa maneno binaadamu wasio na soni, vigeugeu kama hawa jamaa uliowataja hapa. Ngoja niongezee kweny hii listi
10. Ni hawa hawa walimwita Dr. Slaa chaguo la mungu, mkombozi tanzania one , leo anaitwa msaliti
11. Ni hawa hawa waliwaita CUF na kutuaminisha kuwa ni CCM B chama cha mashoga, waliberali leo ndio wamekua watetezi wao.
12. Ndio hawa hawa walimtukana Naibu spika Tulia wakidai anaharibu bunge, hana busara na wakimsifu Ndungai, kipindi yu mgonjwa leo Hafai.Unafiki haujawahi kumuacha mtu salama.
Huyo itakuwa ni kutoka BAWACHA mkuu.kawaida yenu BAVICHAA
kavunja sheria gan namba gan ya mwaka gan?Kavunja kipengere kipi katika katiba?Hakuna mahali Chadema walipomtaka RAIS anayevunja SHERIA na KATIBA aliyoapa kuilinda.
Hatukuhitaji RAIS anayetaka kuwamaliza wanaomkosoa.
Pole sana kajipange upya.
Chama Cha Mauaji miaka 55 mlichoweza kufanikiwa ni MAUAJI,UTEKAJi,WIZI,UTESAJI na UJANGILI.
Kama mlinunuliwa na Fisadi Lowasa (kwa mujibu wa Lema na Mbowe na pro chagadema) kuna kosa gan CCM kunua mtu msafi kama SlaaNaona baada ya kumnunua Dr.Slaa naona vijana wa CCM mkimpa sifa zote zamani mlilowesha kwa matusi mpaka ya nguoni.
Kama mnamuona Ndugai na Tulia wanaliongoza Bunge vizuri basi mnamatatizo na hamlitakii wema Taifa letu
Ya CUF kuwa CCM B hayo ni ya UVCCM ila ile CUF Lipumba siyo tu CCM B nali ni tawi la CCM
Kama ilivyo kwa UNAFIKI hata MAUAJI ya RAIA wasio na hati hayajawahi kumuacha mtu salama.CCM mko busy kutafuta mchawi wakati wachawi ni nyie wenyewe .
punguza unazi mkuu weka akili yako huru,unakumbuka kesi ya wale waliofukuzwa BOT?Hakuna kitu kama hicho Sheria ya kazi na mahusiano kazin na circular mbalimbali za utumishi zinasema mtumishi anapotuhumiwa na jambo lolote mwajili atamsimamisha kazi na atapata mshahara wake kamili kipindi chote ambacho atakua kasimama kazi kupisha uchunguzi sasa lete hapa kesi ya huyo mtumishi ni nan kwa jina lake na alifukuzwa kazi wapi na kesi ilikua katika mahakama gan na ruling yake ilitoka ln
kavunja sheria gan namba gan ya mwaka gan?Kavunja kipengere kipi katika katiba?
kawaida yenu BAVICHAA
Ni mara ngapi wapinznai wamesema JPM anavunja katiba na vipengele wamevitoa.Sasa kama unavihitaji nenda ukasome KATIBA.
Katiba yetu inaruhusu RAIA kutoa maoni yake,Katiba yetu inaruhusu vyama vingi na inaruhusu mikutano ya vyama vyote vya siasa inakuwaje miaka yote hii ni CCM tu inayoruhusiwa kufanya siasa wengine je??Wakikusanyika hata kwenye ofisi zao mnatuma polisi.
Tshirt pia ni shida hapo hatujaongelea kuhusu Bendera za CHADEMA ni kama vile mtu akiona bendera au tshirt ya Chadema anapata ugonjwa wa degedege.
Imekuwa kila siku wapinzani wanapishana polisi utadhani clinicmkisa Mkullu hataki kuusikia ukweli.
Miaka 2 ya JPM mlichoweza kufanya kwa mafanikio ni haya:
1.UBAGUZI.
2.CHUKI
3.VISASI
4.UNYANYASAJI wa wapinzani.
5.Mauaji
6.UTESAJI
7.UTEKAJI
haya ndiyo amefanikiwa kwa kiwango cha 80%
Poleni cana CCM miala 55 mlichoweza mlichofanikiwa ni hayo 7 hapo juu
Chafema ni kikaragosi ukiwaamini ukawapa nchi ndio kwa heri sasa hivi mwenyekiti wao kahama nchi anakusanya michango1. Chadema walikuwa wakimlalamika Rais Kikwete kuwa ni Rais mpole, anatabasamu tu wanataka Rais mkali. Leo hii amepatikana Dk. Magufuli, Rais mkali wamegeuka na kuanza kumuita “dikteta uchwara”. Undumila kuwili hautawaacha salama
2. Ni Chadema hawa hawa waliokuwa wakichukizwa na watu kupeana ajira kiholela pasipo kuzingatia uwezo wala elimu ya mtu. Leo hii Rais Magufuli amefanya uhakiki wa ajira na kubaini wenye vyeti vyeki, majina feki na waliopata ajira kwa njia isiyo rasmi. Ajabu yake, Chadema wanajitokeza kulaani watu kutimuliwa kwenye kazi zao. Unafki hautawaacha salama.
3. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka mapapa wa matumizi ya madawa ya kulevya wakamatwe na kutajwa hadharani, ilipofika wakati wanatajwa hadharani wakageuka na kuanza kulaumiwa kuwa si vyema kuwataja Watu hadharani kwani tunaaribu CV zao mitaani ni baada ya Bosi wao kutajwa pia. Kumbe mkuki kwa Nguruwe, kwa binadamu mchungu.
4. Ni Chadema hawa hawa walikuwa wakitaka Serikali ikusanye kodi kwenye maini, leo hii Rais Dk. Magufuli ameanzisha vita ya kiuchumi ya kuhakikisha kodi stahiki inalipwa kwenye madini kitendo kilichopelekea baadhi ya migodi kufungwa kutokana na wawekezaji kukimbia ulipwaji wa kodi. Migodei imefungwa, ajira zimepungua Chadema wanajitokeza kulaani kitendo cha Watu kupoteza ajira zao na kuilaumu Serikali. Ni Serikali iliyofunga migodi au waliokuwa wakichimba madini wamesitisha uchimbaji kutokana na kushindwa kuchimba madini? Serikali ina lawama kweli hapo? Ila Chadema wanasema ni Serikali ilaumiwe kufungwa migodi.
5. Hao hao Chadema wanasema kodi ikusanywe lakini wakati huo huo wanalaani Wafanyabiashara wakubwa kukamuliwa mno kwa kodi zinazokusanywa. Au walitaka hizo kodi walipe au watozwe kina nani kama si Wafanyabiashara wakubwa?
6. Ni hawa hawa CHADEMA walimuita KIKWETE Vasco Da Gama kisa anaenda sana nje ya nchi wakati ana balozi wa Mambo ya Nje na Uhusiano kimaifa kaja Magufuri kazuia safari za nje ziisiizo na tija wameanza kusema haendi nje sababu hajui kingereza unafik hauta waacha salama
7. Ni hawa hawa walisema Mhe Lowassa ni FISADI na over their dead body hawawezi kumruhusu kujiunga na Chama Chao lakini walimpokea na kumpa UFALME
8. Ni hawa hawa walimfukuza uanachama ZITTO KABWE kwa kutishia kwenda mahakamani kudai haki ya kichama kugombea UENYEKITI....ni yule yule Mwanaharakati anayejifanya MKUU WA SHERIA NCHINI aliyemtshia Zitto akihusisha Mahakama is OUT OF THE CHAMA....leo hii wanajifanya wanapigania MHIMILI wa MAHAKAMA
9. Ni Hawa hawa waliolalamika kuwa wameibiwa kura na kuilaani serikali iliyopo Madarakani kuwa imetumia wizi kuingia madarakani...lakini tena ni wao wao walikuwa wa kwanza KUMPONGEZA Kenyatta aliyetangazwa mshindi kwa kura za wizi kudeki LAMI hakutawaacha salama
10. Ni hawa hawa walimwita Dr. Slaa chaguo la Mungu, mkombozi wa watanzania na wanyonge, leo ni anaitwa msaliti namba moja
11. Ni hawa hawa waliwaita CUF na kutuaminisha kuwa ni CCM B chama cha mashoga, waliberali leo ndio wamekua watetezi wao na kuungana katika UKAWA yani CHADEMA wameungana na chama walichosema ni chama cha utetezi wa MASHOGA.
12. Ndio hawa hawa walimtukana Naibu spika Tulia wakidai anaharibu bunge, hana busara wakavaa mpaka matambara mdomoni na wakimsifu Ndungai kuwa ni spika safi , kipindi yu mgonjwa leo Ndugai tena Hafai.
Kama mlinunuliwa na Fisadi Lowasa (kwa mujibu wa Lema na Mbowe na pro chagadema) kuna kosa gan CCM kunua mtu msafi kama Slaa