Wakuu salam
Mimi ni mtumiaji mkubwa sana wa mtandao wa kufanya betting unaitwa biko
Ila sidhan kama kila mtu anapata majanga kama ambayo mm nayapata kila ninaposhinda bet zangu
Sijawahi kushinda na nikapata pesa yangu kwa wakati bila kusumbuana nao kwenye simu
Kila nikishinda inatake mpaka siku mbili pesa hakuna na kila ukipiga simu wanakwambia matokeo bado hayajawa updated ila cha ajabu mkeka ukichanika hapo hapo unaambiwa jaribu tena
Sijui kama wenzangu uwa mnapitia Hali kama hii