Tata Maestro
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 169
- 175
Wadau
Nimeomba salio la deni ninalodaiwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nilichopewa sio salio ni mkanganyiko wa kufadhaisha sana. Kwanza wamedai hesabu zao ni tafauti na hazina.
Kwenye salary slip yangu inaonyesha nadaiwa 1,252,530. Ila wao wamenipa salio la zaidi ya milioni 3.
Swali ni hiyo milioni 1,252,530 itakapoisha, wata top up deni jipya tena ambalo silijui? Na nini maana ya salary slip au hizi salary slip ni mageresho tu ya mshahara wa mtumishi?.
Ubabaishaji wa bodi ya mikopo ni mbaya sana na unaumiza sana, na sijajua kwanini wanatufanyia hivi au ndo kama ule msemo mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile kidogo alichonacho atanyang'anywa