Kwa nini mnataka watu wa kabila fulani waishi maisha duni na watumike kama kivutio maisha yao yote? Maisha ni lazima yalete mabadiliko na ni vizuri wapewe huduma kama shule na hospital ili waishi maisha ya kawaida.Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao.
Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na wengine, kujaribu kuwarubuni na kuwafundisha vitu vigeni ambavyo kimsingi vitawaaribia mifumo yao ya kuishi, mpaka ya kibaiologia ,hasa mfumo wa chakula. Ambao wao ni tofauti kidogo na sisi. Ime adapt maji kidogo sana, nyama nyingi na mimea.
Sasa hivi, wapo exploited, utawakuta tiktok, Instagram na pengine, wanapoteza ile uasili wao na shauku.
Serikali idhibiti hili suala. Access isiwe rahisi rahisi tu. Hawafaidiki na lolote na hawajataka ata simu ila mkishawaonesha watataka.
Ni ubinafsi wa binadamu. Anataka kutumia wengine kama kivutio cha utalli bila kujali hali zao.Wenzenu wanavyokula utumbo wenye kinyesi nyie ndio mnasikia raha? Mbona nyie mliacha asili zenu kwanini sio wao?
Miaka yote wanaishi hivyo na wana afya Bora ,kwa nini muwaharibie maisha yao?acheni ujuaji wenu wa kipumbavuWenzenu wanavyokula utumbo wenye kinyesi nyie ndio mnasikia raha? Mbona nyie mliacha asili zenu kwanini sio wao?
Acha upumbavu wewe. Serikali ndo iko mstari wa mbele kuwatoa maporini na kuwapa elimu. Shule ya msingi ya bweni ya Endamagha ilijengwa kwa ajili yao. Wanapata huduma zote shuleni bure. Pia kuna program ilikuwepo kuwapeleka vijana wa kihadzabe Marekani kwa elimu zaidi ingawa kuna wahuni walikuwa wanachomekea watoto na ndugu zao ambao sio wahadzabe. Wale ni watanzania wenzetu wenye haki kama makabila mengine.Kwa asiyeelewa maana ya kulinda utamaduni hawezi kuelewa hii post. Seriously serikali iingilie kati.
Watoke huko porini, zama za kula bundi wa kuchoma na panya wa kubanika zilishapita.Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao.
Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na wengine, kujaribu kuwarubuni na kuwafundisha vitu vigeni ambavyo kimsingi vitawaaribia mifumo yao ya kuishi, mpaka ya kibaiologia ,hasa mfumo wa chakula. Ambao wao ni tofauti kidogo na sisi. Ime adapt maji kidogo sana, nyama nyingi na mimea.
Sasa hivi, wapo exploited, utawakuta tiktok, Instagram na pengine, wanapoteza ile uasili wao na shauku.
Serikali idhibiti hili suala. Access isiwe rahisi rahisi tu. Hawafaidiki na lolote na hawajataka ata simu ila mkishawaonesha watataka.
Wewe mjinga jua serikali ndo iko mstari wa mbele kuwatoa maporini na kuwapa elimu. Shule ya bweni Endamagha yenye huduma zote bure ilijengwa kwa ajili yao. Wale ni watanzania wenzetu wenye haki kama wewe. Yale maisha yao kwa sasa ni magumu yaliyogubikwa na umaskini wa kutisha. Hata wanyama kwenye maeneo yao wamepungua kwa sababu ya shughuli za kibinadamu hali inayofanya maisha yao kuzidi kuwa magumu.Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao.
Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na wengine, kujaribu kuwarubuni na kuwafundisha vitu vigeni ambavyo kimsingi vitawaaribia mifumo yao ya kuishi, mpaka ya kibaiologia ,hasa mfumo wa chakula. Ambao wao ni tofauti kidogo na sisi. Ime adapt maji kidogo sana, nyama nyingi na mimea.
Sasa hivi, wapo exploited, utawakuta tiktok, Instagram na pengine, wanapoteza ile uasili wao na shauku.
Serikali idhibiti hili suala. Access isiwe rahisi rahisi tu. Hawafaidiki na lolote na hawajataka ata simu ila mkishawaonesha watataka.
Sorry to say that wewe ndo una upumbavu. Hivi hawezi kumjibu mtu bila kumtukana?Acha upumbavu wewe. Serikali ndo iko mstari wa mbele kuwatoa maporini na kuwapa elimu. Shule ya msingi ya bweni ya Endamagha ilijengwa kwa ajili yao. Wanapata huduma zote shuleni bure. Pia kuna program ilikuwepo kuwapeleka vijana wa kihadzabe Marekani kwa elimu zaidi ingawa kuna wahuni walikuwa wanachomekea watoto na ndugu zao ambao sio wahadzabe. Wale ni watanzania wenzetu wenye haki kama makabila mengine.
Wewe ndio msemaji wao? Wamesema wanaharibiwa maisha yao? Huoni wewe ndio mjuaji wa kipumbavu? Wahead kabisa!Miaka yote wanaishi hivyo na wana afya Bora ,kwa nini muwaharibie maisha yao?acheni ujuaji wenu wa kipumbavu
Kwani walikwambia maisha yao ni duni? Wamekuwa wakiishi hivyo kwa raha na amani. Hayo ndio maisha yao.Unafurahia uduni wa maisha yao? Kuvaa matambara, kula nyama mbichi, life expectancy of 30yrs? Maisha duni sio sifa.
Ujinga wao ni upi?Kwa hyo unataka waendelee kuwa wajinga
Yulee anapenda kula nyama ya moto peke ake na ubabe wa hapa napale ..... hahahaHasa kama yule DUDU KWE anajiona kama diamond aiseee
Paka ukishaanza kumpa vya nyumbani panya hali tena.Dudukwee kaathiri. Sasa hivi wanafanya maigizo tuu kufanya vitu tofauti ili eaonekane ni primative na kuwaridhisha wazungu. Haya uwindaji wanafanya maigizo wanaletewa wanyama ambao wamekwisha kufa naa kuzuga wanawawinda