Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.Ktk gazeti la Fahamu la januari 22 kuna habari inayosema zaidi ya asilimia 60 ya wabunge wa cdm wanaweza kuachia ngazi baada ya uchaguzi wa ndani wa chama hicho endapo mbowe ataendelea kuwagawa ktk mbio za urais 2015.yameandikwa mengi lakin imeelezwa pia wabunge wakikaa kikao ktk hoteli moja magomenina kujadili kauli ya mbowe kumpigia upatu dk.slaa na kufikia conclution kuwa ina madhara ya kukigawa chama. Na mbunge mmoja aliweka bayana kwa mwandishi kuwa demokrasia isipozingatiwa watafanya uamuzi mzito ikiwa ni pamoja na kujienguaili kulinda heshima zao na wapigakura wao. Mambo yanazidi kupamba moto cdm, mtafika kweli 2015?
Waache watoke, kuna wanaCDM zaidi ya millioni wenye sifa zaidi ya hao na wanauchungu na nchi yetu.
kuna namna ngapi za uchungu?uchungu wa namnagani
hana jina?huyo mbunge mmoja.......:confused2:
Ningefurahi sana kama ZZK angeondoka na panya wake jana/juzi.
Ningefurahi sana kama SHIBUDA angekimbia bila kufukuzwa toka mwaka jana!!
Let them GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!! Traitors!!
yaani mna wanachama wachache kiasi hicho bado tu mnashabikia makundi na kufukuzana?chadema ina watu wengi sana zaidi ya milioni 4.majimbo hayazidi 400.tutagombea wengine.WAONDOKE TU.