middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali watu wakihitaji kusaidiwa katika uandish wa barua za kikazi,
mf; barua za kuomba kazi.
Waalimu na yeyote ajuaye hebu tusaidiane kwa hili!
Kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali watu wakihitaji kusaidiwa katika uandish wa barua za kikazi,
mf; barua za kuomba kazi.
Waalimu na yeyote ajuaye hebu tusaidiane kwa hili!
Mmh!
Upo serious mkuu?
Eti "kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali" , why all this!? ungesema tu nahitaji msaada kuelekezwa namna ya kuandika barua ya kikazi, hizo kejeli zimevutwa na namna ulivyowasilisha hoja zako.
eti "kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali" , why all this!? Ungesema tu nahitaji msaada kuelekezwa namna ya kuandika barua ya kikazi, hizo kejeli zimevutwa na namna ulivyowasilisha hoja zako.
Hivi ulitaka mimi niandike the all form of official letter ndipo ujue watu wanahitaji msaada?
Salam.
1. Upande wa kulia juu, anwani ya mtumaji.
2. Tarehe ya barua ilipo andikwa.(upande huo huo wa anwani ya mtumaji.
3. Upande wa kushoto, chini kidogo ya tarehe, anwani ya mpokeaji.
4. Kama una marefaree (kupitia kwa-KK) andika anwani zao kulingana na protocol/mda uliofanya kazi kwenye company hiyo. (the current should be on top of others/ the top rank should be on top)
5. Salam.
6. Kichwa cha barua
7. Kiini cha barua.
8. Mwisho wa barua.
9. Jin