Uandishi matangazo mtandaoni

Uandishi matangazo mtandaoni

Asiliatz

Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
96
Reaction score
131
Uandishi matangazo...maandishi yana nguvu pale yanapotumiwa, kumshawishi mteja anunue huduma au bidhaa.

Kuna watu/wafanyabiahara na wajasiriamali wengi wanatumia fedha nyingi kujitangaza mitandaoni ilikupata wateja, lakini matokeo yake yanakua si sawa na vile ametumia pesa.

Wengine wamekua wakipata wateja wengi kwenye mitandao yakijamii baada ya kuboost post, lakini wateja hao wanakuja na maswali mengi mpaka saa zingine yana mkera/kumuelemea muuzaji ambaye anahisi amesha maliza kila kitu kwenye tangazo lake.

Suluhu ya hili jambo ni watu kama mimi, waandishi matangazo, naandika kwa kushawishi, hivyo mteja si rahisi kuchomoa labda awe hana pesa ama nia ya kununua.

Tangazo lina fomula zake na matakwa yake, ambayo mtu yoyote anaweza kujifunza nakuelewa, ambayo ni * picha/video nzuri * maandishi ya ushawishi.

Si wote wana muda wakujifunza na kufanya mambo haya, ndio maana wapo watu kama mimi, nakuandikia tangazo la mitandao ya kijamii kwa Tsh. 4999 tu
Email: john.mahuwi@gmail.com
.
uandishi3.jpg
 
Back
Top Bottom