Uandishi huu wa Richard Mgamba mnaukubali wenzangu ?

Nov 24, 2013
6
2
Katika Magazeti mbalimbali niliyoyasoma kwenye Gazeti la Citizen Makala za mshikaji haijasimama kabisa. Aise amekuwa anajadili mambo ambayo naona kama yana mgongano wa maslahi ya wananchi. naob maoni yenu wadau.
 
huyo jamaa ni gaidi linalotumiwa na kagame kuisoma tanzania. ni adui namba moja wa uhuru wa tanzania
 
Unajua Mike kijamaa all the time kinaandika mambo ya M23. Ana mahusiano gani na Rwanda ? Mimi binafsi sikubaliani kabisa na uandishi wake huu. Au atakuwa na kajimshahara kwa Mhe. yule wa Rwanda. Serikali ifuatilie swala hili jamaani. Tunataka Amani Tanzania yetu sisi.
 
Namfahamu vema tangu nimeripoti huyu mtu kama hawajamfanyia kazi vyombo vya dola hawatendi haki huyu lazima atakuwa shushu wa kagame halina ubishi hata kidogo.
 
sijui kwa nini vyombo vya dola bado havijachukua hatua dhidi yake pamoja na kuripoti kwenye mitandao mwenendo wake kiukweli huyu atakuwa shushushu wa kagame ni vema akachunguzwa.
 
Back
Top Bottom