Tatizo umekurupuka. Naona hujui nimekuelekeza kipi. Hiyo ni link ya AI ambayo inakutengenezea Proposal au hata kukuandikia paper kwa kutumia deepresearch.
Nimepewa kazi na mwamba mmoja kumuamdalia proposal, wakuu wenye uzoefu naomba mwongozo juu ya uandaaji wa proposal ya mashirika? Kuomba fund, na projects.
Mkuu nadhani ungejikita kwenye experience zaidi kuliko ku AI ingemsaidia vizuri.. hata mimi pia nasoma comment huenda naweza kujifunza kitu kutoka kwako nakwa wengine
Nimepewa kazi na mwamba mmoja kumuamdalia proposal, wakuu wenye uzoefu naomba mwongozo juu ya uandaaji wa proposal ya mashirika? Kuomba fund, na projects.