Hakikisha unajipanga kuanza kufanya moja kwa moja bila kukwama.
Reason ni kwamba ukifanya kwa unyonge au kukwama kwama kuna watu tayari wapo kwenye system watachukua idea yako na kuifanya kwa ukubwa then wewe ndio utaonekana umecopy.