M magida10 Member Joined Jul 16, 2014 Posts 8 Reaction score 0 Jun 28, 2019 #1 Habari za leo. Naomba kuuliza ulaji wa betroot yakuchemsha au kusaga juice, kwa njia ipi hapo huongeza damu kwa haraka zaidi? Asanten
Habari za leo. Naomba kuuliza ulaji wa betroot yakuchemsha au kusaga juice, kwa njia ipi hapo huongeza damu kwa haraka zaidi? Asanten
Kinyau JF-Expert Member Joined Nov 24, 2006 Posts 924 Reaction score 732 Jun 28, 2019 #2 Best uisage kwenye blender unywe kama juice
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,507 Jul 13, 2019 #4 Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake Na kuchanganya na tunda lingine Mf ndizi embe kuongeza ladha
Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake Na kuchanganya na tunda lingine Mf ndizi embe kuongeza ladha
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Jul 14, 2019 #5 LadyRed said: Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake Na kuchanganya na tunda lingine Mf ndizi embe kuongeza ladha Click to expand... Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi
LadyRed said: Na bora uichemshe kidogo pia..raw binafsi siipendi ladha yake Na kuchanganya na tunda lingine Mf ndizi embe kuongeza ladha Click to expand... Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,507 Jul 14, 2019 #6 daudthefarmer said: Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi Click to expand... Ni preference tu Naiona beetroot kama carrot Unaweza ila fresh ama ukachemsha kidogo Carrot ukichemsha kidogo unaipata ile ladha yake ya sukari vizuri Jaribu kula raw beet afu chemsha kidogo kula pia uone ipi ina ladha nzuri
daudthefarmer said: Kwa lugha nyepesi hii ni juice, huwezi chemsha matunda yote hayo upate kitu sahihi Click to expand... Ni preference tu Naiona beetroot kama carrot Unaweza ila fresh ama ukachemsha kidogo Carrot ukichemsha kidogo unaipata ile ladha yake ya sukari vizuri Jaribu kula raw beet afu chemsha kidogo kula pia uone ipi ina ladha nzuri
mojave JF-Expert Member Joined Apr 30, 2016 Posts 5,570 Reaction score 6,433 Jul 14, 2019 #7 LadyRed said: Ni preference tu Naiona beetroot kama carrot Unaweza ila fresh ama ukachemsha kidogo Carrot ukichemsha kidogo unaipata ile ladha yake ya sukari vizuri Jaribu kula raw beet afu chemsha kidogo kula pia uone ipi ina ladha nzuri Click to expand... nilichoshangaa ni kuichemsha pamoja na embe na ndizi, labda kama nilikuelewa vibaya kwenye uandishi wako! sorry kama nimekuelewa vibaya!
LadyRed said: Ni preference tu Naiona beetroot kama carrot Unaweza ila fresh ama ukachemsha kidogo Carrot ukichemsha kidogo unaipata ile ladha yake ya sukari vizuri Jaribu kula raw beet afu chemsha kidogo kula pia uone ipi ina ladha nzuri Click to expand... nilichoshangaa ni kuichemsha pamoja na embe na ndizi, labda kama nilikuelewa vibaya kwenye uandishi wako! sorry kama nimekuelewa vibaya!
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,507 Jul 14, 2019 #8 daudthefarmer said: nilichoshangaa ni kuichemsha pamoja na embe na ndizi, labda kama nilikuelewa vibaya kwenye uandishi wako! sorry kama nimekuelewa vibaya! Click to expand... Ahh hahah nlimaanisha beetroot tu
daudthefarmer said: nilichoshangaa ni kuichemsha pamoja na embe na ndizi, labda kama nilikuelewa vibaya kwenye uandishi wako! sorry kama nimekuelewa vibaya! Click to expand... Ahh hahah nlimaanisha beetroot tu