Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Uanaume ni pale unamwambia dem ako akushke tako mbele ya washkaji zako
Uanaume ni pale unapohonga mamilioni wakati bado unaishi nyumba ya kupanga.
UANAUME ni pale unapokuwa na bahati ya kupendwa na mademu wakali.. ila jogoo hawiki.
uanaume ni kutoa kojoleo lako na kuweka kwenye kikojoleo cha mtu mwingine
Uanaume ni kukubalika na madem wakali na wenye elimu zao.
Kama mimi nilivyokubaliwa na Faiza Foxy
Hahahaa
Hahahaaaa
Uanaume ni pale unamwambia dem ako akushke tako mbele ya washkaji zako
Uanaume ni pale unapopambana na changamoto ngumu zaidi kimaisha...ambazo pengine wengine hushindwa...
we tuachie ujingada umeharibu asee kweli umesoma na kuelewa kilichoandikwa hapo ?