Uanaume halisi.

Ebwana ee
Btw, kila dada anapenda kuwa na mwanaume mwenye sifa kama za baba yake, ila wengi huwa wanasahau kuwa mwanaume huyo anatengenezwa.
 
Ebwana ee
Btw, kila dada anapenda kuwa na mwanaume mwenye sifa kama za baba yake, ila wengi huwa wanasahau kuwa mwanaume huyo anatengenezwa.
Muda mwingine unajiongeza tuu bhana. Sio unaona wife mikazi kibao wee ndo kwanza unaaga kwenda kutazama mpira bar.
 
Muda mwingine unajiongeza tuu bhana. Sio unaona wife mikazi kibao wee ndo kwanza unaaga kwenda kutazama mpira bar.
Kuna waliokulia kwenye familia zenye wanawake wengi mfano mimi ntakuharibia vyombo vyako tu unifukuze apo jikoni
 
Mbona hata sisi wanaume tunaweza! Sema wanawake wakibongo mdomo sana.
Hahaa. Wachache sana tena vijijini huko.
Mjini labda ubahatishe aliyeenda shule na akaelimika haswaa au upate ambaye hana hela so anategemea mwanamke.
 
Mbona bongo wanaume wa hivi wako wengi sana tu ??
Kizazi cha Millennial walioelimika kipo hivi na wala hakuna jambo la ajabu.
Japo kumpata mwanamme wa hivi (Japo wapo wengi tu) wewe mwanamke lazima uwe na kitu cha ziada kama huyo Michele Obama. Hivihivi utaishia kulalamika tu na kutukana wanaume wa Kiafrika kwamba they are not romantic

NB: Usisahau kwamba Birds of the same feathers flock together(God Man=Good Wife!)
 
Mkuu hapo kwenye kuelimika na mwanamke kuwa na cha ziada nimekuelewa sana.
 
Kama account bank inasoma vizuri mambo ya kuosha vyombo kupika kupiga deki mwanaume sio case ila ukiwa zali la mentali aitakaa itokeee labda mbinguni
 
Nafanya sana ila kwa masharti mawili.. 1.usinitume na 2.usijisifie kwa wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…