Madimba jr JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 1,585 Reaction score 3,182 Oct 23, 2018 #1 Uanaume wa Dar ni kupost neno "umama" mtandaoni huku umesahau kama nawe umezaliwa na mama,baada ya siku mbili unaanzisha msemo mwingine "unakufa" na wanaume wenzako wa Dar wanaushadadia na kuusambaza mitandaoni....
Uanaume wa Dar ni kupost neno "umama" mtandaoni huku umesahau kama nawe umezaliwa na mama,baada ya siku mbili unaanzisha msemo mwingine "unakufa" na wanaume wenzako wa Dar wanaushadadia na kuusambaza mitandaoni....
muhamar Gadaf JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 1,098 Reaction score 1,056 Oct 23, 2018 #2 nyaoooo