Uanamume!

Mbaya sana kumnyanyasa mnyonge lakn inakuwa mbaya zaid ni pale mnyonge anaamua liwalo na liwe kama ni kufa nife ila lazma kieleweke
 
Huyo kweli sio mbongo. Wabongo si ndio wale wanailiza eti shemeji unatuachaje?
 
Wako wawili halafu wanafimbo...si waweke fimbo chini waje kavukavu....
 
Embu angali bendara ya huyo mjeda begani tujue ni wa nchi gani
 
Burundi. Bongo huwa wanakimbilia kujificha kwenye magari hasa viongozi.
 
Mkuu hii Tanzania, kama asingekuwa huyo alienyanyua fimbo tungesema ni Burundi maana jamaa kuna mazingira walikuwa wapore hata wanaposogelewa na waandamanaji

Tangu lini ffu wa tz wakavaa mabaka baka? Kwanza wanavyopenda sifa kwa jinsi huyo jamaa alivyojiamini wangemjia na smg+mabomu ya machozi+virungu bila kusahau gari zima la maji za kuwasha.
 
"Kwa shujaa huenda kilio kwa muoga huenda kicheko!" Leo atajua kwa nini jeshi linaitwa jeshi..!
 
Aanavyoonekana jamaa anajiweza tatizo hao jamaa wana hermet kichwani na ngumi zinatakiwa zielekezwe huko.
 
Ukitazama miguu utagundua huyo mjeda wa mbele keshapigwa ngwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…