UAMSHO wasalimu amri kwa Polisi!

UAMSHO wasalimu amri kwa Polisi!

tuepuke kushabikia mambo yanayoleta uadui katika nchi yetu.udini si kitu cha kushabikia hata kidogo
 
"Lakini alisema(kamisha wa polisi) kufanyika kwa mhadhara huo katika viwanja vya Malindi wanahesabu kwamba bado hapo ni maeneo ya msikiti na hivyo hawajakataza watu kuendelea na shughuli zao za kidini iwapo watadumisha amani na usalama wa nchi."

Polisi BANA!
 
mara nyingine wakifanya matembezi ya amani yaanzie na kuishia hapohap kwenye maeneo ya msikiti...
 
Back
Top Bottom